Abdul Kiba adai wimbo ‘Ayaya’ alikuwa amshirikishe Vanessa Mdee ila ikashindikana
Abdul Kiba amesema kabla ya kufikiria kufanya wimbo wake wa ‘Ayaya’ na Ruby alipanga kumshirikisha Vanessa Mdee. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV kuwa, Vanessa alimuacha njia panda kwa muda mrefu bila kumjibu ndio maan akaamua kufanya na Ruby. “Kwanza nili-plan kufanya wimbo na Vanessa, nilimtumia ule wimbo wakati umetimia wote […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Sep
Abdul Kiba adai kuvujisha ngoma hakulipi
9 years ago
Bongo512 Oct
Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Ne-Yo awanyanyua Ali Kiba, Vanessa Mdee, Ben Pol, Fid Q
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI maarufu duniani wa miondoko ya R&B kutoka Marekani, Ne-Yo, ameacha gumzo kwa wapenzi wa muziki wanaofuatilia onyesho la Coke Studio kutokana na umahiri aliouonyesha katika kolabo alizofanya na wasanii kutoka barani Afrika.
Katika msimu huu, amefanya kolabo na wanamuziki Wangechi (Kenya), Ali Kiba (Tanzania), Maurice Kirya (Uganda), Dama Do Bling (Msumbiji) na Ice Prince (Nigeria).
Kolabo alizofanya na wasanii hao zimeleta burudani ya pekee kwa wapenzi wa muziki wa...
10 years ago
Bongo521 Nov
Vanessa Mdee: Wimbo wangu ujao ni wa rap
9 years ago
Bongo505 Oct
Wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutoka Jumatatu ijayo
9 years ago
Bongo517 Nov
Vanessa Mdee arekodi wimbo mpya Nigeria na Runtown
![Vee na Run](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Vee-na-Run-300x194.jpg)
Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania...
10 years ago
Bongo524 Feb
Picha: GK aingia studio na Vanessa Mdee kuandaa wimbo mpya
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Ben Pol, Kiba, Vanessa Mdee, Fid Q kuwasha moto Coke Studio Africa
NA MWANDISHI WETU
WASANII nguli wa muziki nchini, Ben Pol, Ali Kiba, Fid Q na Vanessa Mdee, wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya burudani ya muziki, maarufu kama Coke Studio Africa litakaloanza mapema wiki ijayo.
Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani ‘Kolabo’.
Kolabo ya wasanii 55 itashirikisha wasanii wawili kutoka nchi mbili tofauti kuimba nyimbo mbili za mitindo...
9 years ago
Bongo508 Oct
Video ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee ‘Never Ever’ kutambulishwa Trace Urban (Oct. 9 )