Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio
Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo. Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza. “Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Sep
Abdul Kiba adai kuvujisha ngoma hakulipi
Abdul Kiba anadai amegundua kuwa mfumo wa kuachia wimbo akiwa amejipanga kuna matokeo mazuri kuliko kuvujisha. Amesema njia aliyotumia kuachia wimbo wake mpya ‘Ayaya’ aliomshirikisha Ruby, imeleta matokeo mazuri tofauti na nyimbo zake zilizopita. “Kuachia nyimbo kwa kuvujisha au kutoa bila utaratibu hakuna manufaa,” amesema. “Nyimbo yangu zilizopita kama ‘Pita Mbele’ ni nyimbo ambazo sikuziachia […]
9 years ago
Bongo520 Oct
Abdul Kiba adai wimbo ‘Ayaya’ alikuwa amshirikishe Vanessa Mdee ila ikashindikana
Abdul Kiba amesema kabla ya kufikiria kufanya wimbo wake wa ‘Ayaya’ na Ruby alipanga kumshirikisha Vanessa Mdee. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV kuwa, Vanessa alimuacha njia panda kwa muda mrefu bila kumjibu ndio maan akaamua kufanya na Ruby. “Kwanza nili-plan kufanya wimbo na Vanessa, nilimtumia ule wimbo wakati umetimia wote […]
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Chanjo ya ebola yaanza kufanyiwa majaribio
Chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa ebola imefanyiwa majaribio kwa watu wazima 20 nchini Marekani huku Shirika la Afya Ulimwenguni likihitimisha mkutano wake wa siku mbili Geneva, Uswisi.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Kikosi cha kwanza Simba shakani
Ni wazi kuwa kocha mkuu wa Simba, Dyran Kerr na benchi lake la ufundi wameshapata kikosi chao cha kwanza kwa ajili ya Ligi Kuu, lakini wana kazi ya ziada kuelekeza mfumo wa 4-4-2 ambao umeonekana kutoeleweka vizuri hadi sasa kwa wachezaji wake.
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya corona: Wanasayansi wa Uingereza wanataka chanjo yao kufanyiwa majaribio Kenya
Watafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Simba haijapata kikosi cha kuivaa Yanga
Mechi ya kirafiki ya Nani Mtani Jembe, inamuumiza kichwa Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic ambaye hadi kufikia jana alikuwa hajapata kikosi kitakachocheza na Yanga kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake na kufanikiwa kufuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.
10 years ago
GPLKIKOSI CHA AZAM KITAKACHOKWAANA NA SIMBA LEO
1. MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. AGGREY MORIS
5. PASCAL WAWA
6. BOLOU MICHAEL
7. MUDATHIR YAHYA
8. FRANK DOMAYO
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE…
11 years ago
GPL![](http://desyernest.com/shaffihdauda/wp-content/uploads/2014/04/MMG29776-610x400.jpg?width=610)
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO NA SIMBA SC
1. Deo Munish “Dida†– 30
2. Mbuyu Twite – 6
3. Oscar Joshua – 4
4. Nadir Haroub “Cannavaro†– 23
5. Kelvin Yondani – 5
6. Frank Domayo – 18
7. Saimon Msuva – 27
8. Hassan Dilunga – 26
9. Didier Kavumbagu – 7
10. Mrisho Ngasa – 17
11. Hamis Kizza – 20 Subs:
1. Barthez, 2.Job, 3. Zahir, 4.Telela, 5.Nizar, 6....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania