Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chanjo ya ebola yaanza kufanyiwa majaribio

Chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa ebola imefanyiwa majaribio kwa watu wazima 20 nchini Marekani huku Shirika la Afya Ulimwenguni likihitimisha mkutano wake wa siku mbili Geneva, Uswisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wanasayansi wa Uingereza wanataka chanjo yao kufanyiwa majaribio Kenya

Watafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majaribio ya chanjo ya ebola kuanza

Majaribio makubwa ya chanjo ya ugonjwa hatari wa Ebola, yanapangiwa kuanza hatimaye nchini Liberia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Canada kutoa chanjo ya majaribio

Serikali nchini Canada inasema kuwa itatoa hadi dosi 1,000 za chanjo ya majaribio ya ugonjwa wa Ebola kwa shirika la afya duniani WHO.

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio

Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo. Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza. “Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa […]

 

5 years ago

CCM Blog

WHO: MAJARIBIO CHANJO YA COVID-19 (CORONA) YAMEANZA

WHO: Majaribio ya chanjo ya COVID-19 (Corona) yameanza
Shirika la Afya Duniani limesema siku 60 baada ya sampuli za virusi vya Corona au COVID-19 kuwasilishwa na China, chanjo ya kwanza ya majaribio imeanza.Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema, “haya ni mafanikio makubwa, tunawapongeza watafiti kote duniani ambao wamekuja pamoja ili kutathmini majaribio ya tiba."Ameongeza kuwa WHO na washirika wake wanaandaa utafiti katika nchi nyingi ambako baadhi ya nchi...

 

11 years ago

Habarileo

Majaribio ya chanjo ya saratani ya kizazi kufanyika Kilimanjaro

Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan MmbandoSERIKALI imeuteua Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya majaribio ya chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake.

 

5 years ago

Michuzi

UINGEREZA KUFANYA MAJARIBIO YA CHANJO YA CORONA WIKI HII


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
CHANJO dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) iliyochakatwa katika Chuo kikuu cha Oxford nchini Uingereza itafanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza siku ya Alhamisi wiki hii, katibu wa Afya nchini humo Matt Hancock ameeleza.
Kwa mujibu wa DailyMail imeelezwa kuwa Hancock amesema kuwa chanjo itakua ni njia sahihi ya Kupambana na virusi hivyo.
Chanjo hiyo itafanyiwa majaribio kwa watu wapatao 510 wenye umri kati ya miaka 18 hadi 55 huku ikielezwa kuwa watafiti hao...

 

5 years ago

CCM Blog

WANASAYANSI WA UINGEREZA KUIFANYIA MAJARIBIO CHANJO YA CORONA KWA WAKENYA


vaccineHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionChanjoWatafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.Hatua hiyo inajiri wiki moja baada ya Shirika la Afya duniani kuyaonya mataifa ya Ulaya kwamba bara la Afrika sio uwanja wa majaribio ya chanjo.Dawa ya corona yashindwa jaribio la kwanzaWHO: Afrika sio uwanja wa majaribio ya chanjo ya coronaMkuu wa Shirika hilo Dkt Tedros Adhanom...

 

5 years ago

BBCSwahili

Watu waanza kujitolea kushiriki majaribio ya chanjo mpya corona

Watu waliojitolea kutumiwa kwa ajili ya majaribio ya chanjo mpya wameanza kupewa kinga ya chanjo mpya ya virusi vya corona nchini Uingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani