Watu waanza kujitolea kushiriki majaribio ya chanjo mpya corona
Watu waliojitolea kutumiwa kwa ajili ya majaribio ya chanjo mpya wameanza kupewa kinga ya chanjo mpya ya virusi vya corona nchini Uingereza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili18 May
Virusi vya corona: Je kwanini Waafrika wanaombwa kushiriki majaribio ya chanjo?
Kumekuwa na taarifa kadhaa za kuogofya kuhusu majaribio ya chanjo ya corona inayofanyiwa watu barani Afrika.
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Virusi vya Corona: Wanasayansi nchini Australia waanza kufanya majaribio ya chanjo mbili
Majibu ya awali kutolewa mwezi Juni.
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya corona: Afrika sio uwanja wa majaribio ya chanjo ya corona - WHO
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amelaani kauli alizoziita za "kibaguzi" kutoka kwa madaktari wawili wa Ufaransa ambao walitaka chanjo ya virusi vya corona kufanyiwa majaribio barani Afrika.
5 years ago
CCM Blog19 Mar
WHO: MAJARIBIO CHANJO YA COVID-19 (CORONA) YAMEANZA
![WHO: Majaribio ya chanjo ya COVID-19 (Corona) yameanza](https://media.parstoday.com/image/4bppab3963bcce15ayh_800C450.jpg)
Shirika la Afya Duniani limesema siku 60 baada ya sampuli za virusi vya Corona au COVID-19 kuwasilishwa na China, chanjo ya kwanza ya majaribio imeanza.Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros Ghebreyesus amesema, “haya ni mafanikio makubwa, tunawapongeza watafiti kote duniani ambao wamekuja pamoja ili kutathmini majaribio ya tiba."Ameongeza kuwa WHO na washirika wake wanaandaa utafiti katika nchi nyingi ambako baadhi ya nchi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AyrScgJFQLA/Xp_zgL9eyTI/AAAAAAALnxM/1FOR9JL2V201pc5HJZovCVzKQrT9tz1AgCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
UINGEREZA KUFANYA MAJARIBIO YA CHANJO YA CORONA WIKI HII
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
CHANJO dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) iliyochakatwa katika Chuo kikuu cha Oxford nchini Uingereza itafanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza siku ya Alhamisi wiki hii, katibu wa Afya nchini humo Matt Hancock ameeleza.
Kwa mujibu wa DailyMail imeelezwa kuwa Hancock amesema kuwa chanjo itakua ni njia sahihi ya Kupambana na virusi hivyo.
Chanjo hiyo itafanyiwa majaribio kwa watu wapatao 510 wenye umri kati ya miaka 18 hadi 55 huku ikielezwa kuwa watafiti hao...
5 years ago
CCM Blog24 Apr
WANASAYANSI WA UINGEREZA KUIFANYIA MAJARIBIO CHANJO YA CORONA KWA WAKENYA
![vaccine](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/144E9/production/_111277138_gettyimages-1154450279.jpg)
5 years ago
BBCSwahili05 May
Virusi vya corona: Kenya kufanyia majaribio chanjo ya Covid-19 kwa binadamu
Wanasayansi wa Kenya wameungana na wenzao wa kimataifa katika juhudi za kutafuta tiba ya ugonjwa wa Covid-19, kwa kufanyia majaribio dawa tatu.
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya corona: Wanasayansi wa Uingereza wanataka chanjo yao kufanyiwa majaribio Kenya
Watafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Hospitali za Uingereza zaanza kufanyia majaribio dawa mpya
Dawa mpya iliotengenezwa na wanasayansi wa Uingereza kutibu Covid 19 inafanyiwa majaribio katika chuo kikuu cha Southampton.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania