Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake na kufanikiwa kufuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kikosi cha kwanza Simba shakani

Ni wazi kuwa kocha mkuu wa Simba, Dyran Kerr na benchi lake la ufundi wameshapata kikosi chao cha kwanza kwa ajili ya Ligi Kuu, lakini wana kazi ya ziada kuelekeza mfumo wa 4-4-2 ambao umeonekana kutoeleweka vizuri hadi sasa kwa wachezaji wake.

 

9 years ago

Global Publishers

Kerr: Mleteni tu Kopunovic sina hofu

kochaDylanKerr.jpgKocha mkuu wa Simba, Dylan Kerr.

Said Ally na Omary Mdose
KOCHA mkuu wa Simba, Dylan Kerr, licha ya kuwepo kwa taarifa kuwa anaweza kutimuliwa ndani ya kikosi hicho na nafasi yake kupewa kocha wa zamani wa timu hiyo, Mserbia, Goran Kopunovic, ameibuka na kusema suala hilo wala halimtishi hata kidogo.

Kopunovic Mserbia, Goran Kopunovic

Hivi karibuni kuliibuka taarifa za ndani ya Simba zikisema uongozi umempa Muingereza huyo michezo ya mzunguko wa kwanza iliyobakia kuhakikisha anapata matokeo mazuri la...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Pluijim: Sijapata kikosi cha kwanza

KOCHA wa Yanga Hans Pluijim amesema mpaka sasa bado hajapata kikosi cha kwanza, huku akiwataka mashabiki wa klabu hiyo kumpa muda mshambuliaji wao mpya raia wa Zimbabwe Donald Ngoma ili aweze kuonyesha uwezo wake zaidi.

Pluijm alisema alitaka michezo mingi ya kirafiki kabla ya michuano ya Kagame inayotarajia kuanza Jumamosi hii, ili aweze kupata kombinesheni nzuri kwa wachezaji wapya na wazamani pamoja na kupata kikosi cha kwanza.

Akizungumza mara baada ya mchezo wao wa kirafiki wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nadir atoswa kikosi cha kwanza

Kila shetani na mbuyu wake! Kocha mpya wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amemchomoa rasmi katika kikosi cha wachezaji 11 wa kwanza beki mkongwe wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Canavaro’.

 

11 years ago

GPL

Pluijm amrudisha Chuji kikosi cha kwanza

Kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amempokea kwa mikono miwili kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’,  baada ya kuvutiwa na kiwango chake na inawezakana akamtumia katika mechi ya Klabu Bingwa Afrika Jumamosi. Tangu Pluijm achukue mikoba ya kuifundisha Yanga alikuwa hajawahi kumwona mchezaji huyo uwanjani kutokana na kuwa amesimamishwa na...

 

10 years ago

GPL

KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOKWAANA NA SIMBA LEO

1. MWADINI ALI
2. SHOMARI KAPOMBE
3. ERASTO NYONI
4. AGGREY MORIS
5. PASCAL WAWA
6. BOLOU MICHAEL
7. MUDATHIR YAHYA
8. FRANK DOMAYO
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE…

 

11 years ago

GPL

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO NA SIMBA SC

1. Deo Munish “Dida” – 30 2. Mbuyu Twite – 6 3. Oscar Joshua – 4 4. Nadir Haroub “Cannavaro” – 23 5. Kelvin Yondani – 5 6. Frank Domayo – 18 7. Saimon Msuva – 27 8. Hassan Dilunga – 26 9. Didier Kavumbagu – 7 10. Mrisho Ngasa – 17 11. Hamis Kizza – 20 Subs: 1. Barthez, 2.Job, 3. Zahir, 4.Telela, 5.Nizar, 6....

 

11 years ago

Mwananchi

Simba haijapata kikosi cha kuivaa Yanga

Mechi ya kirafiki ya Nani Mtani Jembe, inamuumiza kichwa Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic ambaye hadi kufikia jana alikuwa hajapata kikosi kitakachocheza na Yanga kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai kuitwa na kikosi cha Simba kufanyiwa majaribio

Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo. Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza. “Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani