Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nadir atoswa kikosi cha kwanza

Kila shetani na mbuyu wake! Kocha mpya wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amemchomoa rasmi katika kikosi cha wachezaji 11 wa kwanza beki mkongwe wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Canavaro’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kikosi cha kwanza Simba shakani

Ni wazi kuwa kocha mkuu wa Simba, Dyran Kerr na benchi lake la ufundi wameshapata kikosi chao cha kwanza kwa ajili ya Ligi Kuu, lakini wana kazi ya ziada kuelekeza mfumo wa 4-4-2 ambao umeonekana kutoeleweka vizuri hadi sasa kwa wachezaji wake.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Pluijim: Sijapata kikosi cha kwanza

KOCHA wa Yanga Hans Pluijim amesema mpaka sasa bado hajapata kikosi cha kwanza, huku akiwataka mashabiki wa klabu hiyo kumpa muda mshambuliaji wao mpya raia wa Zimbabwe Donald Ngoma ili aweze kuonyesha uwezo wake zaidi.

Pluijm alisema alitaka michezo mingi ya kirafiki kabla ya michuano ya Kagame inayotarajia kuanza Jumamosi hii, ili aweze kupata kombinesheni nzuri kwa wachezaji wapya na wazamani pamoja na kupata kikosi cha kwanza.

Akizungumza mara baada ya mchezo wao wa kirafiki wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake na kufanikiwa kufuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

 

11 years ago

GPL

Pluijm amrudisha Chuji kikosi cha kwanza

Kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amempokea kwa mikono miwili kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’,  baada ya kuvutiwa na kiwango chake na inawezakana akamtumia katika mechi ya Klabu Bingwa Afrika Jumamosi. Tangu Pluijm achukue mikoba ya kuifundisha Yanga alikuwa hajawahi kumwona mchezaji huyo uwanjani kutokana na kuwa amesimamishwa na...

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa

SIMBA-YANGA-3.jpg
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...

 

9 years ago

Michuzi

Kikosi cha muziki mnene cha EFM 93.7 chatoka sare na mlandizi veteran

 Timu ya soka ya Muziki Mnene ya EFM 93.7 (jezi nyeupe) wikiendi iliyopita ilikuwa Mlandizi mkoani Pwani kucheza mchezo wa kirafiki na Mlandizi Veteran ambapo matokeo yalikuwa 0-0. Hiyo ni katika mwendelezo wa kupeleka muziki mnene wa kituo hicho machachari cha redio kwa wananchi, Nahodha wa Muziki Mnene Dennis Ssebo akiongoza kikosi kazi chake kusalimiana na wenyeji wao Mlandizi veterans kabla ya kuanza kwa mtanange wao huko MlandiziWananchi wakishudia mpambano wa Muziki Mnene na Mlandizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani