Pluijm amrudisha Chuji kikosi cha kwanza
![](http://api.ning.com:80/files/uErcoZ1KdnLHR-3vQB2LhWGzFsGC36R1V3oIk6ElhtoPdIUoR5y8j5Hikfh*Mvtx3Go6AonEVAjd2NrohzpZmD4Ky*C-Fb7L/kochayanga.jpg?width=650)
Kocha mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge KOCHA mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, amempokea kwa mikono miwili kiungo wa timu hiyo, Athumani Idd ‘Chuji’, baada ya kuvutiwa na kiwango chake na inawezakana akamtumia katika mechi ya Klabu Bingwa Afrika Jumamosi. Tangu Pluijm achukue mikoba ya kuifundisha Yanga alikuwa hajawahi kumwona mchezaji huyo uwanjani kutokana na kuwa amesimamishwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Kocha Pluijm amrudisha Yondani kikosini Yanga
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Pluijim: Sijapata kikosi cha kwanza
KOCHA wa Yanga Hans Pluijim amesema mpaka sasa bado hajapata kikosi cha kwanza, huku akiwataka mashabiki wa klabu hiyo kumpa muda mshambuliaji wao mpya raia wa Zimbabwe Donald Ngoma ili aweze kuonyesha uwezo wake zaidi.
Pluijm alisema alitaka michezo mingi ya kirafiki kabla ya michuano ya Kagame inayotarajia kuanza Jumamosi hii, ili aweze kupata kombinesheni nzuri kwa wachezaji wapya na wazamani pamoja na kupata kikosi cha kwanza.
Akizungumza mara baada ya mchezo wao wa kirafiki wa...
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Nadir atoswa kikosi cha kwanza
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Kikosi cha kwanza Simba shakani
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Kocha Pluijm apangua kikosi Yanga
9 years ago
Habarileo01 Nov
Pluijm: Yanga itamaliza duru la kwanza ikiwa juu
KOCHA wa Yanga, Hans Pluijm amesema ana uhakika kikosi chake kitamaliza duru la kwanza la Ligi Kuu Tanzania Bara kikiongoza ligi hiyo. Akizungumza na gazeti hili, Pluijm raia wa Uholanzi, alisema anajua changamoto zinazowakabili katika kutetea taji lao msimu huu, lakini wamejipanga kuhakikisha wanapambana nazo na kupata wanachokitaka.