Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerr: Mleteni tu Kopunovic sina hofu

kochaDylanKerr.jpgKocha mkuu wa Simba, Dylan Kerr.

Said Ally na Omary Mdose
KOCHA mkuu wa Simba, Dylan Kerr, licha ya kuwepo kwa taarifa kuwa anaweza kutimuliwa ndani ya kikosi hicho na nafasi yake kupewa kocha wa zamani wa timu hiyo, Mserbia, Goran Kopunovic, ameibuka na kusema suala hilo wala halimtishi hata kidogo.

Kopunovic Mserbia, Goran Kopunovic

Hivi karibuni kuliibuka taarifa za ndani ya Simba zikisema uongozi umempa Muingereza huyo michezo ya mzunguko wa kwanza iliyobakia kuhakikisha anapata matokeo mazuri la...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Takwimu Simba zambeba Kerr siyo Kopunovic

Licha ya kocha Goran Kopunovic kutajwa kurejea kwa mara nyingine kuinoa Simba, bado rekodi ya kocha huyo kwenye kikosi cha Simba haijapiku ile ya kocha wa sasa, Dylan Kerr ambaye yuko mguu ndani mguu nje kutupiwa virago.

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake na kufanikiwa kufuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM  na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...

 

10 years ago

TheCitizen

Kopunovic shifts focus on league

Simba SC head coach and Serbian Goran Kopunovic has congratulated his boys for clinching the 2014/2015 Mapinduzi Cup, calling on them not to relax.

 

9 years ago

Global Publishers

Kocha Kopunovic tena Simba

KopunovicMserbia, Goran Kopunovic.

Hans Mloli,
Dar es Salaam
UNAWEZA kuona kama ni utani lakini ndiyo hali halisi ilivyo, Klabu ya Simba imeamua kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wao, Mserbia, Goran Kopunovic.

Ishu ya kuanza mazungumzo na kocha huyo iliibuka wakati wa mchakato wa awali ulipoanza wa kumtafuta kocha msaidizi wa timu hiyo ambaye mpaka sasa bado hajapatikana baada ya kocha mkuu wa wekundu hao, Dylan Kerr kuchomoa ujio wa Mganda, Moses Basena.

Habari ikufikie kuwa Kopunovic...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic: Tambwe ni hatari aisee

Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Simba, raia wa Serbia, Goran Kopunovic, amewashangaa viongozi wa klabu hiyo kwa kumuacha Amissi Tambwe kwenye usajili uliopita.Simba waliachana na Tambwe kwenye usajili uliopita kwa kile walichodai kuwa, ameshuka kiwango pamoja na kwamba msimu mmoja tu nyuma aliwapa heshima ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Tambwe baada ya kuachwa,...

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic azuia kambi Simba SC

 Kocha Mkuu wa Simba Goran Kopunovic ametoa uamuzi uliowafurahisha wachezaji wake baada ya kuamrisha kuwa timu hiyo iingie kambini kesho badala ya jana jioni kama uongozi wa timu hiyo ulivyopanga.

 

10 years ago

Vijimambo

Kopunovic alegeza masharti Simba.

Mserbia Goran Kopunovic.
Sizitaki mbichi hizi zimeanza kujitokeza kwa Mserbia Goran Kopunovic ambaye alishindwana na Simba baada ya kuitaka klabu hiyo kumpa Sh. milioni 100 za ada ya usajili ili kusaini mkataba mpya huku pia akiitaka kumuongeza mshahara na kuwa Sh. milioni 28 kwa mwezi.

Hata hivyo, wakati Simba ikiwa katika mchakato wa kusaka mbadala wake, imeelezwa kuwa kocha huyo ameanza kuwapigia simu viongozi wa klabu hiyo na kuwaambia ameshusha kiwango cha fedha anachotaka kulipwa ili...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic aondoa watatu Simba

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa Simba, Goran Kopunovic, ametangaza mapema aina tatu za wachezaji ambao hawawezi kudumu katika kikosi chake.Kopunovic, raia wa Serbia, amesema wachezaji wasiotaka kujituma ndiyo kundi la kwanza ambalo halitakuwa na nafasi katika kikosi chake. “Pili ni wale wasiokuwa na nidhamu na tatu wasiocheza kwa manufaa ya timu au kuangalia manufaa ya pamoja kama timu, hakika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani