LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM
![](http://1.bp.blogspot.com/-sD2ApP7Ltds/VYcKbF0mA8I/AAAAAAAHiNs/2iKTjmAITLs/s1600/MMGL0877.jpg)
Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa
9 years ago
Habarileo07 Sep
Makamba apongeza Lowassa kukatwa CCM
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Makamba, amepongeza chama hicho kwa kukata jina la Edward Lowassa, katika kundi la wawania urais wa chama hicho kwa kuwa hakuwa na sifa za kuwa Rais.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Lowassa: Sina tena rafiki CCM
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Jina “Lowassa” na hatima ya CCM
KWA sasa hakuna asiyejua nani aliyeibuka mshindi wa mchuano wa ndani ya CCM wa kumtafuta mshika b
Ahmed Rajab
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jmGrp1volbk/VaSi7hidWKI/AAAAAAAAxs0/89pi1cMhwZ8/s72-c/Lowassa%2B%25281%2529.jpg)
Baada ya Jina Lake Kukatwa, Haya Ndiyo Yanayomsumbua Edward Lowasa Mpaka Anashindwa Kula
![](http://4.bp.blogspot.com/-jmGrp1volbk/VaSi7hidWKI/AAAAAAAAxs0/89pi1cMhwZ8/s640/Lowassa%2B%25281%2529.jpg)
Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Kerr: Mleteni tu Kopunovic sina hofu
Kocha mkuu wa Simba, Dylan Kerr.
Said Ally na Omary Mdose
KOCHA mkuu wa Simba, Dylan Kerr, licha ya kuwepo kwa taarifa kuwa anaweza kutimuliwa ndani ya kikosi hicho na nafasi yake kupewa kocha wa zamani wa timu hiyo, Mserbia, Goran Kopunovic, ameibuka na kusema suala hilo wala halimtishi hata kidogo.
Mserbia, Goran Kopunovic
Hivi karibuni kuliibuka taarifa za ndani ya Simba zikisema uongozi umempa Muingereza huyo michezo ya mzunguko wa kwanza iliyobakia kuhakikisha anapata matokeo mazuri la...
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
Mbeya wajikata baada ya Lowassa kukatwa
HATUA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwaengua wanachama wake walioaminika kuteuliwa na chama hicho
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Lowassa: Sina mpango wa kushindwa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini hapa jana saa 10:20 jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo katika Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mara baada ya kuchukua...
10 years ago
Mwananchi10 Nov
Lowassa: Sina mpango wa kutangaza nia