Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Jina Lake Kukatwa, Haya Ndiyo Yanayomsumbua Edward Lowasa Mpaka Anashindwa Kula


Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

Lowassa azungumza kwa ufupi na waandishi wa habari kuhusu jina lake kukatwa

 

9 years ago

Bongo Movies

Haya Ndiyo Maneno ya Wolper Baada ya Kuvalishwa Pete

Staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ambaye amevishwa pete na mchumba wake, jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram alifunguka haya, mara baada ya kubandika picha hizihuku akipost picha kadhaa wakati akivalishwa pete.

”Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya Mungu.. dah nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe kuna tukio mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa kila sku na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA KIKAO KWISHA USIKU WA MANANE HAYA NDIYO MAJINA YANAYOTAZAMIWA KUTANGAZWA KESHO.

Haya ndio matokeo yaliyowekwa @Twitter kuhusu Wagombea watano Urais wa CCM Dodoma live 
INASEMEKANA HAWA NDIYO WANAOPEWA NAFASI KUBWA YA KUINGIA KWENYE TANO BORA HABARI RASMI KUTOLEWA ASUBUHI.

 

10 years ago

Vijimambo

UNANINI CHA KUSEMA JUU YA MANENO HAYA YA PROF ANNA TIBAIJUKA KWA WAPIGA KULA WAKE BAADA KUZOMEWA MBELE YA KINANA HUKO BUKOBA.

JE mnachuliaje uamuzi alichokua Mbunge wa Muleba Kusini (CCM) na aliewahi kuwa waziri wa Ardhi nyumba na makazi, Profesa Anna Tibaijuka jana baada ya kuzomewa mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambapo alisema haya“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema. “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo....

 

10 years ago

GPL

LOWASSA: SINA HOFU KUKATWA JINA CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na mtangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wana-CCM  na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa jina lake katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.… ...

 

9 years ago

Michuzi

MHE> EDWARD NGOYAI LOWASA HAKUBALIANI NA MATOKEO YA UCHAGUZI YANAYOTANGAZWA NA NEC


Ndugu waandishi wa habari;Tumewaita hapa kuwaomba muwaeleze Watanzania wenzetu, jumuiya ya kimataifa na marafiki zetu wengine wa ndani na nje, kwamba hatukubaliani na matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kote nchini.Hii ni kwa sababu, upo ushahidi wa wazi unaothibitisha kwamba utangazaji wa matokeo hayo umevurugwa kwa makusudi na watendaji ndani ya NEC kwa kusaidiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).Katika maeneo mengi ambako matokeo...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mh. Edward Lowasa hana msimamo thabit juu ya mashekhe wa Zanzibar walowekwa mahabusu.

Hapo jana, 03 october 2015. Ukawa walikuwa na mkutano mkubwa wa hadhara ulofanyika kisiwani Pemba. Katika Mkutano huo waliongea viongozi takriban 9 wa Ukawa. Ni saa nane kamili wakati Mh. Edward Lowasa alipopanda katika jukwaa na […]

The post Mh. Edward Lowasa hana msimamo thabit juu ya mashekhe wa Zanzibar walowekwa mahabusu. appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani