Msafara Lowasa barabarani mpaka ofisi za Tume
![](http://img.youtube.com/vi/kcGHvbJ1-GQ/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-qfOvFNEThXM/VdBQaM_47EI/AAAAAAAATqU/AvtHDIVmYtI/s72-c/E86A9073%2B%25281280x853%2529%2B%25282%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-jmGrp1volbk/VaSi7hidWKI/AAAAAAAAxs0/89pi1cMhwZ8/s72-c/Lowassa%2B%25281%2529.jpg)
Baada ya Jina Lake Kukatwa, Haya Ndiyo Yanayomsumbua Edward Lowasa Mpaka Anashindwa Kula
![](http://4.bp.blogspot.com/-jmGrp1volbk/VaSi7hidWKI/AAAAAAAAxs0/89pi1cMhwZ8/s640/Lowassa%2B%25281%2529.jpg)
Nimepata taarifa kutoka kwa watu walio karibu na Lowasa kuwa tangu juzi chakula hakijapanda kwa mzee. Kwamba kila akiwekewa chakula mezani, anachokonoa kidogo tu na inachukua muda mrefu kati ya tonge moja hadi jingine. Pia mdau huyo kanidokeza kuwa Mzee Lowasa kwa sasa ana mawazo mengi sana na hajui afanye nini. Wapo waliomshauri kuwa akae kimya katika kipindi hiki kigumu ili apate muda wa kutosha kutafakari na kufanya maamuzi. Hata hivyo, ushauri huo ameutupa kwani anahisi kwamba muda...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uqC-4eRMdj0/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qbn-hmie8EI/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wgRrk1DB3oI/Uxl2bvAvyaI/AAAAAAAFRo0/1T0AUIAylXw/s72-c/Polisi+4.jpg)
Airtel Yatoa Msaada wa Samani kwa Ofisi ya Usalama Barabarani Kinindoni
![](http://1.bp.blogspot.com/-wgRrk1DB3oI/Uxl2bvAvyaI/AAAAAAAFRo0/1T0AUIAylXw/s1600/Polisi+4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-pPqZKj3mDpM/Uxl2VZIszUI/AAAAAAAFRok/G056axCvt7c/s1600/Polisi.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt62zo00mnZQTFyAAtvXMKpo2vOXqlPDT1a9DUPn-7q5Rp41MuG82wvZyVGcKyAIh4YMb9w5xdHi16dDLfpbpuXa4/2Polisi4.jpg?width=650)
KAMPUNI YA AIRTEL YATOA MSAADA WA SAMANI KWA OFISI YA USALAMA BARABARANI
Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akiteta na Afisa Mnadhimu wa Polisi Kinondoni, Bibie Juma Athumani (wa kwanza kushoto) baada ya Airtel kukabidhi viti na meza kwa ajili ya polisi wa kituo cha Oysterbay hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa Polisi wa kituo hicho.
Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akisalimiana na Afisa Mnadhimu wa...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Ulinzi ofisi za Tume ya Uchaguzi ‘usipime’
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inachukua hatua ili kulinda vifaa na taarifa nyeti za uchaguzi. Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey alisema huo umekuwa utaratibu wa kila mwaka inapokaribia siku ya kupiga kura.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-pK3LLEBRolQ/Xkjb1gaIkxI/AAAAAAACyts/WwarCFKc0HwSWo2NVNLygWeoh0UVzQoMQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAFUNGA MNYORORO OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI MALWI
![](https://1.bp.blogspot.com/-pK3LLEBRolQ/Xkjb1gaIkxI/AAAAAAACyts/WwarCFKc0HwSWo2NVNLygWeoh0UVzQoMQCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Hali nchini Malawi haijatulia hata baada ya Mahakama ya Kikatiba juzi kutupilia mbali ya rufaa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Arthur Peter Mutharika ya kuzuia uchaguzi mwingine.
Jana waandamanaji walifika katika ofisi za tume ya uchaguzi na kisha kufunga kwa mnyororo ofisi hizo kama njia ya kumlazimisha mwenyekiti wake kujiuzulu baada ya uamuzi huo wa mahakama.
Mamia ya waandamanaji hao walitembea kwa kilomita tano hadi kufika katika ofisi za tume hiyo zilizoko Blantyre, na kufunga...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania