WAFUNGA MNYORORO OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI MALWI
![](https://1.bp.blogspot.com/-pK3LLEBRolQ/Xkjb1gaIkxI/AAAAAAACyts/WwarCFKc0HwSWo2NVNLygWeoh0UVzQoMQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Hali nchini Malawi haijatulia hata baada ya Mahakama ya Kikatiba juzi kutupilia mbali ya rufaa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Arthur Peter Mutharika ya kuzuia uchaguzi mwingine.
Jana waandamanaji walifika katika ofisi za tume ya uchaguzi na kisha kufunga kwa mnyororo ofisi hizo kama njia ya kumlazimisha mwenyekiti wake kujiuzulu baada ya uamuzi huo wa mahakama.
Mamia ya waandamanaji hao walitembea kwa kilomita tano hadi kufika katika ofisi za tume hiyo zilizoko Blantyre, na kufunga...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Ulinzi ofisi za Tume ya Uchaguzi ‘usipime’
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Walimu Igunga wafunga ofisi ya Mkurugenzi
WALIMU zaidi ya 125 wa shule mbalimbali wilayani Igunga mkao wa Tabora, wamefunga ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga wakishinikiza kulipwa mishahara na posho zao. Hatua hiyo, iliwalazimu wafanyakazi...
11 years ago
Mwananchi08 May
Walimu wafunga ofisi ya mkurugenzi wa Igunga
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Wafunga ofisi ya serikali kwa ubadhirifu
TUHUMA za ubadhirifu na uporaji wa ardhi zinazowakabili baadhi ya watendaji wa halmashauri na kijiji, zimewasukuma wananchi wa Kijiji cha Bugulula, Kata ya Bugulula wilayani Geita kufunga ofisi ya serikali...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc
9 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Oct
CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]
The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.