Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulinzi ofisi za Tume ya Uchaguzi ‘usipime’

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inachukua hatua ili kulinda vifaa na taarifa nyeti za uchaguzi. Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey alisema huo umekuwa utaratibu wa kila mwaka inapokaribia siku ya kupiga kura.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAFUNGA MNYORORO OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI MALWI


   Hali  nchini Malawi haijatulia hata baada ya Mahakama ya Kikatiba juzi kutupilia mbali ya rufaa ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Arthur Peter Mutharika ya kuzuia uchaguzi mwingine.
Jana waandamanaji  walifika katika ofisi za tume ya uchaguzi na kisha  kufunga kwa mnyororo ofisi hizo kama njia ya kumlazimisha mwenyekiti wake kujiuzulu baada ya uamuzi huo wa mahakama.
Mamia ya waandamanaji hao walitembea kwa kilomita tano hadi kufika katika ofisi za tume hiyo zilizoko  Blantyre, na kufunga...

 

10 years ago

GPL

ULINZI WA OBAMA KENYA USIPIME

Sifael Paul na mtandao Ni Obama kila kona! Muda wowote kuanzia leo wananchi wa Kenya watashuhudia kutua kwa Rais wa Marekani, Barack Hussein Obama, nchini humo huku stori kubwa ikiwa ni ulinzi uliowekwa kwa hofu ya kundi ‘haramu’ la ugaidi la Alshabaab, Ijumaa linakupeleka hadi kwa majirani zetu hao...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Iq6LnF ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ivo ajifua Sauzi, ulinzi wa Yanga usipime

Homa ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda, baada ya Simba kulazimika kumrudisha kundini kipa wake majeruhi, Ivo Mapunda na Yanga wakiweka ulinzi mkali katika mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veteran, Bunju jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

GPL

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mmoja wa wanahabari akinyoosha mkono kuuliza swali kwa mwenyekiti huyo (hayupo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani