Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Mmoja wa wanahabari akinyoosha mkono kuuliza swali kwa mwenyekiti huyo (hayupo pichani).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Ulanga mashariki,Lushoto kufanya  uchaguzi leo  

 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza rasmi kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa Wabunge na madiwani Novemba 22 mwaka huu, katika Majimbo ambayo hayakufanya uchaguzi Oktoba 25 kutokana na vifo vya wagombea  katika majimbo mawili na kata sita.

Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , jimbo la Ulanga Mashariki Mkoani Morogoro na  Lushoto Mkoani Tanga hayakuchagua wabunge, huku Kata sita  zikishindwa kuchagua Madiwani.

 

Kaimu Mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe ametoa taarifa kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020







•           Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,•           Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,•           Mkurugenzi wa Uchaguzi,•           Msajili wa Vyama vya Siasa,•           Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,•           Viongozi wa Vyama vya Siasa,•           Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,•           Inspekta Jenerali wa Polisi,•           Kamishna Mkuu wa Uhamiaji•           Watendaji wa Tume,•           Waandishi wa Habari,•           Mabibi na Mabwana
Bwana...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Mh.Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema leo mchana,kwenye moja ya ukumbi wa mikutano ya Hill Top Hotel,mjini Iringa kuhusiana na ufafanuzi wa Daftari la Kududumu la Wapiga Kura litakalotumika katika Uchaguzi wa Ubunge jimbo la Kalenga,unaotarajiwa kufanyika machi 16 mwaka huu.Jaji Lubuva amebainisha kuwa Tume haijafanya Uboreshaji kwa maana ya kuandikisha Wapiga kura wapya ambao hawakuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani