Ulanga mashariki,Lushoto kufanya  uchaguzi leo Â
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza rasmi kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa Wabunge na madiwani Novemba 22 mwaka huu, katika Majimbo ambayo hayakufanya uchaguzi Oktoba 25 kutokana na vifo vya wagombea katika majimbo mawili na kata sita.
Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , jimbo la Ulanga Mashariki Mkoani Morogoro na Lushoto Mkoani Tanga hayakuchagua wabunge, huku Kata sita zikishindwa kuchagua Madiwani.
Kaimu Mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe ametoa taarifa kwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI
9 years ago
TheCitizen24 Nov
Ruling party now takes Lushoto, Ulanga seats
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kombani1.jpg?width=650)
TANZIA: MBUNGE WA ULANGA MASHARIKI, CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA
10 years ago
MichuziLAPF YATOA MSAADA KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE-WILAYA YA ULANGA MASHARIKI.
10 years ago
Dewji Blog07 May
Uingereza kufanya uchaguzi Mkuu leo
UK, London. Wananchi wa Uingereza leo Mei 7,2015, wanatarajia kupiga kura kuchagua wagombea wa vyama katika uchaguzi mkuu.
Awali katika kampeni za viongozi wa vyama vya siasa wanaowania viti, akiwemo Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza wafanyakazi.
Kiongozi wa Lib Dem, Nick Clegg yeye ameahidi hali ya utulivu. Kura ya maoni inaonyesha...
9 years ago
StarTV23 Nov
Chama cha Mapinduzi chapata ushindi Uchaguzi Mdogo Jimbo La Ulanga
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro amepatikana mara baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jimboni humo kukamilika na msimamizi wa jimbo hilo kumtangaza Goodluck Mlinga kuwa ndiye mshindi.
Katika uchaguzi huo uliofanyika Novemba 22 na kushirikisha vyama vitatu vya CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo, Goodluck Mlinga ameshinda kwa kupata kura 25902 sawa na asilimia 69.78, mgombea wa CHADEMA akipata kura 10592 sawa na asilimia 28.53 na mgombea kupitia ACT wazalendo akipata...
9 years ago
StarTV26 Nov
Baada ya kushinda uchaguzi  Nyumba za  wana CCM zadaiwa kuchomwa moto Ulanga
Wakazi sita wa kijiji cha Liputi kata ya Mbuga wilaya ya Ulanga Mkoani morogoro wamechomewa nyumba zao baada uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika Novemba 22 mwaka huu wilayani humo
Waathirika wa matukio hayo ambao ni makada wa chama cha mapinduzi CCM wamesema walianza kupokea vitisho mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya ubunge huku nyumba zote zikichomwa kwa wakati mmoja wa saa nane usiku
Mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mdogo katika jimbo la ulanga na chama cha mapinduzi...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hWCstz4R7xI/UxRX5lSYFfI/AAAAAAACbd4/cxyQUur-XbE/s72-c/mto.jpg)
MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-hWCstz4R7xI/UxRX5lSYFfI/AAAAAAACbd4/cxyQUur-XbE/s1600/mto.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vCweFFKOucA/UxRS3fx9UYI/AAAAAAACbdM/nVmQ5-0Dx9s/s1600/2.jpg)
5 years ago
BBCSwahili25 Apr
Virusi vya corona: Wimbi la pili la nzige kufanya uharibifu Afrika mashariki