TANZIA: MBUNGE WA ULANGA MASHARIKI, CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Celina Ompeshi Kombani enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Ompeshi Kombani amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu huko nchini India. Bi. Celina Kombani alizaliwa Juni 19 mwaka 1959 na kufariki leo Septemba 24...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia
NA KULWA KAREDIA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani amefariki dunia.
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila aliliambia MTANZANIA jana usiku kuwa Waziri Kombani alifikwa na mauti katika Hospitali ya Apollo nchini India ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu karibu wiki mbili.
“Ni kweli Waziri Kombani amefariki dunia leo jioni (jana), kwa saa za kwetu..alikuwa India kwa matibabu karibu wiki mbili hivi.
“Mimi kama kiongozi wa Bunge naweza...
10 years ago
Michuzi
STOP PRESS: WAZIRI CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA LEO

Taarifa kutoka ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kueleza kwamba mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatatu, ambapo Bunge na Serikali zitasimamia maandalizi yote ya maziko na kumsafirisha kwa mazishi nyumbani kwa...
10 years ago
Dewji Blog24 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU
Majonzi makubwa lufuatia taarifa za msiba jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge kupitia ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...
10 years ago
GPL
TANZIA: MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA DODOMA, MARIAM MFAKI AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi
TANZIA: Mama mzazi wa katibu wa mbunge Al Shaimar Kweigyir afariki dunia leo Kibaha, Pwani

10 years ago
Habarileo25 Sep
Waziri Kombani afariki dunia
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi), Celina Kombani amefariki dunia jana akiwa nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.
10 years ago
GPL
TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA
5 years ago
CCM Blog
TANZIA: IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Hospitali ya JKCI alipokuwa akipatiwa matibabu.
5 years ago
CCM Blog
TANZIA: MDOGO LOWASSA AFARIKI DUNIA

Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es salaam.
Mtoto wa Waziri Mkuu huyo Mstaafu Fred Lowassa amethibitisha hayo
"Ni kweli ndugu yetu Bernard lowassa amefariki yeye ni Baba yangu mdogo, na alikuwa amelazwa Aga Khan na hapa familia tunaenda hospitalini kwa ajili ya kukutana."- Amesema