Waziri Kombani afariki dunia
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi), Celina Kombani amefariki dunia jana akiwa nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania25 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia
NA KULWA KAREDIA
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Celina Kombani amefariki dunia.
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila aliliambia MTANZANIA jana usiku kuwa Waziri Kombani alifikwa na mauti katika Hospitali ya Apollo nchini India ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu karibu wiki mbili.
“Ni kweli Waziri Kombani amefariki dunia leo jioni (jana), kwa saa za kwetu..alikuwa India kwa matibabu karibu wiki mbili hivi.
“Mimi kama kiongozi wa Bunge naweza...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UOz7nUMNgdQ/VgQ73p3EvUI/AAAAAAAH7CA/ypIW3QmnEAs/s72-c/download%2B%25281%2529.jpg)
STOP PRESS: WAZIRI CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-UOz7nUMNgdQ/VgQ73p3EvUI/AAAAAAAH7CA/ypIW3QmnEAs/s1600/download%2B%25281%2529.jpg)
Taarifa kutoka ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kueleza kwamba mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatatu, ambapo Bunge na Serikali zitasimamia maandalizi yote ya maziko na kumsafirisha kwa mazishi nyumbani kwa...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU
Majonzi makubwa lufuatia taarifa za msiba jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani.
Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge kupitia ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kombani1.jpg?width=650)
TANZIA: MBUNGE WA ULANGA MASHARIKI, CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Waziri wa Fedha afariki dunia
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Waziri Tanzania afariki dunia
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Waziri Kigoda afariki dunia nchini India
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZ8N9Ge5IhRMJOejq4JL6jzzdDyFVNvbgcPk8t0hP7cyxktwF1Xg7GQ5v2cKUKv0pKjE7zPBBju5YrzY3CVw7ZP/AlbertReynolds.jpg)
WAZIRI MKUU WA ZAMANI IRELAND AFARIKI DUNIA
5 years ago
BBCSwahili01 May
Waziri wa Katiba Tanzania Balozi Mahiga afariki dunia