Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Kigoda afariki dunia nchini India

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Handeni Tanga na Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki dunia leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

News Alert; Waziri Kigoda afariki dunia nchini India

kigoda

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh Abdallah Kigoda (pichani) amefariki dunia jioni hii nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu.

Taarifa za kifo cha Mh Kigoda ambaye pia alikuwa mbunge wa Handeni mkoani Tanga zimethibitishwa na ofisi ya Bunge jijini Dar es Salaam.

Mhe. Dkt. Kigoda alikwenda nchini India kwa matibabu tarehe 18 Septemba, 2015, kupata matibabu katika hospitali Hiyo ya Apollo. Taarifa zaidi kutolewa baadaye.

Modewji Blog inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Celina Kombani afariki dunia nchini India leo, mwili wake watarajiwa kuwasili nchini JUMATATU

kombani

Majonzi makubwa  lufuatia taarifa za msiba  jioni ya leo Septemba 24.2015, Aliyekuwa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeshi Kombani (56),  amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani. 

Tayari mamlaka husika ikiwemo Serikali na Bunge  kupitia  ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kubainisha kuwa, mwili wa marehemu unategemewa kuwasili  Tanzania, siku ya Jumatatu, na shughuli zote Bunge na Serikali zitasimamia...

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: WAZIRI CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA LEO

Habari zilizotufikia jioni hii zinasema kwamba Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Ompeashi Kombani (pichani), amefariki dunia leo huko India alikokuwa akipata matibabu ya saratani. Alikuwa na umri wa miaka 56.
Taarifa kutoka ofisi za Bunge zimethibitisha kifo hicho na kueleza kwamba mwili wa marehemu unategemewa kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatatu, ambapo Bunge na Serikali zitasimamia maandalizi yote ya maziko na kumsafirisha kwa mazishi nyumbani kwa...

 

9 years ago

Michuzi

TANZIA: MZEE SIMON MEMBE AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Familia ya Membe inasikitika kutangaza kifo cha Mzee Simon Membe (pichani) wa Rondo, Mkoani Lindi, ambaye amefariki dunia jana tarehe 3 Oktoba 2015 huko Mumbai, India alipokwenda kwa ajili ya matibabu.

Mipango ya mazishi inafanywa Dar es Salaam  nyumbani kwa kaka wa Marehemu Mhe Bernard Membe (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu mchana tarehe 5 Oktoba 2015 saa 9 alasiri.

Ibada na heshima za mwisho ‎kwa Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA: OMAR NDEGE MGORI AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA

Familia ya  Mzee Ndege Inasikitika kutangaza  kifo cha  ndugu yao mpendwa Omar Ndege Mgori  (pichani) kilichotokea India. Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Marehemu Mbezi Juu Njia ya Goba.Habari ziwafikiw ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Kwa taraarifa zaidi wasiliana na :
0718066661 - Jaji Mgori0787523152 - Tumaini Mgori+199869103747 - Mohammed Mgori

 

9 years ago

GPL

MWILI WA WAZIRI KIGODA WAWASILI DAR KUTOKA INDIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, enzi za uhai wake. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda akijumuika na Watanzania wengine kuupokea mwili wa marehemu Kigoda. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli naye yupo kuungana na Watanzania wengine kuupokea mwili wa Kigoda. Ndugu, Jamaa na marafiki wakiusubiri kuupokea mwili… ...

 

9 years ago

GPL

WAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA

Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani