Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZIA: WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA KIGODA AFARIKI DUNIA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Kigoda aongoza mkutanno wa 99 wa baraza la mawaziri nchini kenya.

 Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Dkt. Abdallah Omari Kigoda (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mhe. Uhuru Kenyata, Rais wa Jamhuri ya Kenya mara baada ya kufungua rasmi Mkutano wa 39 wa Pamoja Kati ya nchi za ACP na Ulaya katika ukumbi wa Kenyata International Convention Centre hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya. Kushoto kwa Rais Kenyata ni Rais wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Mheshimiwa Kyriakos Gerentopoulos. Ujumbe wa Tanzania ulishirikisha...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda ba Biashara Dr. Kigoda afunga mafunzo ya wajasiliamali zaidi ya 3500 jijini Dar es Salaam

 Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda akiongea wakati wa kufunga mafunzo ya wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji yaliyoshirikisha zaidi ya wajasiliamali 3500 jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda akikabidhi kikombe kwa mwakilishi wa Exim Bank Agnes Kaganda baada ya benki hiyo kushinda nafasi ya tatu kwenye mafunzo ya wiki ya huduma za kifedha na uwekezaji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda na Biashara Dr....

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Kigoda afariki dunia nchini India

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Handeni Tanga na Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki dunia leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

 

9 years ago

Dewji Blog

News Alert; Waziri Kigoda afariki dunia nchini India

kigoda

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh Abdallah Kigoda (pichani) amefariki dunia jioni hii nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu.

Taarifa za kifo cha Mh Kigoda ambaye pia alikuwa mbunge wa Handeni mkoani Tanga zimethibitishwa na ofisi ya Bunge jijini Dar es Salaam.

Mhe. Dkt. Kigoda alikwenda nchini India kwa matibabu tarehe 18 Septemba, 2015, kupata matibabu katika hospitali Hiyo ya Apollo. Taarifa zaidi kutolewa baadaye.

Modewji Blog inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania kwa...

 

5 years ago

Michuzi

TANZIA: BABA MZAZI WA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, GEORGE SIMBACHAWENE AFARIKI DUNIA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro, wakati Mkuu huyo wa Jeshi alipoenda kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Waziri huyo, marehemu Boniface Simbachawene Mwataguluvala, Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, leo Aprili 17, 2020.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Zubery...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Waziri wa Viwanda na Biashara aaga dunia

Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda amefariki dunia siku ya jumatatu nchini India

 

5 years ago

CCM Blog

TANZIA: WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MH. BALOZI DKT. AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA...RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2020 Jijini Dodoma.

Mhe. Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Jijini Dodoma na amefikishwa hospitali akiwa tayari ameshafariki dunia.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani