Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania:Waziri wa Viwanda na Biashara aaga dunia

Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda amefariki dunia siku ya jumatatu nchini India

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho.Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili ya uzalishaji wa Magurudumu mapema mwaka huu. Kiwanda hicho...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene akiongozana na  Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho. Meneja Ufundi wa Kiwanda cha Magurudumu cha General Tyre cha jijini Arusha, Elias Pallangyo,akimuonyesha Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene , sehemu ya kiwanda hicho ambayo ipo katika ukarabati tayari kwa ajili...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA INNOCENT BASHUNGWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameshiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la biashara Zanzibar. Lenye kauli mbiu isemayo “Ushirikishwaji katika kuleta maendeleo endelevu kupitia uchumi wa bahari"

Mkutano huo umefunguliwa Leo 07.03.2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa jukwaa la biashara na Rais wa Zanzibar Mhe .Dkt Ali Mohamed Shein ambae amefungua jukwaa hilo ambalo lengo kuu ni kutazama fursa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AMETOA WITO KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA KUTENGEZA BARAKOA NA VITASA MKONO, SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa (katikati) akipata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mashine ya Cherehani katika utengenezaji wa Barakoa kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Uchapishaji cha Five stars, Ashik Abbas Karim (kushoto), leo Aprili 20, 2020 alipokua katika ziara ya Jijini Dar es Salaam ya kutembelea Viwanda vinavyozalisha Barakoa na Vitakasa Mikono. Waziri wa Viwanda na Biashara,  Innocent Bashungwa (katikati) akisikiliza kwa makini maelezo ya eneo la...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA NCHINI UTURUKI

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amepokea ujumbe kutoka nchi ya uturuki. Ulioongozwa na meya wa Uturuki Mr. Ekrem Yüce na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Prof. Elizabeth K. Kiondo na mwenyeji wao Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu.
Ujumbe umeonesha nia yao ni kufanya mazungumzo lenye lengo la nchi ya Uturuki kufanya uwekezaji nchini Tanzania.
Bashungwa amewaeleza jinsi Tanzania inavyoendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji na biashara kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE JANET MBENE AKUTANA NA WAFANYABIASHARA LONDON

Naibu waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Janet mbene katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi nchini Uingereza, amekutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara na wawekezaji kupitia Chama chao cha East African Association, yenye lengo la kuvutia uwekezaji katika viwanda na kuongeza thamani bidhaa zinazozalishwa Tanzania. Mheshimiwa Mbene amewaeleza wafanyabiashara hao hatua zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kuboresha mazingira ya kufanya biashara, hasa kwa kufanya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AFANYA KIKAO NA WAKURUGENZI,VIONGOZI WA TAASISI ZA WIZARA HIYO




Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amefanya kikao na wakurugenzi na viongozi wa taasisi zote zilizopo chini ya wizara ya viwanda na biashara.Kikao hicho wameshirikisha viongozi mbalimbali wa wizara ambao ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Stella Manyanya, Katibu Mkuu wa wizara ya viwanda na Biashara Prof. Riziki S. Shemdie na viongozi mbalimbali wa wizara ya viwanda na biashara na taasisi zake.Lengo la kikao hicho ilikuwa ni kujadili utekelezaji wa Vipaumbele na...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Kigoda aongoza mkutanno wa 99 wa baraza la mawaziri nchini kenya.

 Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Dkt. Abdallah Omari Kigoda (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mhe. Uhuru Kenyata, Rais wa Jamhuri ya Kenya mara baada ya kufungua rasmi Mkutano wa 39 wa Pamoja Kati ya nchi za ACP na Ulaya katika ukumbi wa Kenyata International Convention Centre hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya. Kushoto kwa Rais Kenyata ni Rais wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Mheshimiwa Kyriakos Gerentopoulos. Ujumbe wa Tanzania ulishirikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani