WAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA
Waziri wa viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda (Mb) enzi za uhai wake.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Waziri Kigoda afariki dunia nchini India
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog12 Oct
News Alert; Waziri Kigoda afariki dunia nchini India
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh Abdallah Kigoda (pichani) amefariki dunia jioni hii nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu.
Taarifa za kifo cha Mh Kigoda ambaye pia alikuwa mbunge wa Handeni mkoani Tanga zimethibitishwa na ofisi ya Bunge jijini Dar es Salaam.
Mhe. Dkt. Kigoda alikwenda nchini India kwa matibabu tarehe 18 Septemba, 2015, kupata matibabu katika hospitali Hiyo ya Apollo. Taarifa zaidi kutolewa baadaye.
Modewji Blog inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania kwa...
10 years ago
Michuzi
Kwaheri Dr. Abdallah Omari Kigoda.
10 years ago
TheCitizen12 Oct
Minister Abdallah Kigoda dies in India
11 years ago
IPPmedia22 May
Industry and Trade minister, Dr Abdallah Kigoda
IPPmedia
IPPmedia
The development of Special Economic Zones (EPZ) in the country has been very expensive “but the outcomes of this endeavour in the country's economic growth and employment creation have been promising.” Industry and Trade minister Dr Abdallah ...
Evicted Kurasini residents to get payDaily News
all 4
10 years ago
Michuzi14 Oct
RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA
JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA, 2015NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA
Muda Tukio Mhusika Saa 1.00 – 2.00Asubuhi Chai WoteMshereheshaji Saa 6.00 – 7.00 Mchana Chakula cha Mchana Wanafamilia na Waombolezaji Saa 8.30 – 9.00 Mchana Viongozi na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I
Viongozi/Waombolezaji Saa 9.00– 9.30Asubuhi Mwili ...
5 years ago
Michuzi
NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA
10 years ago
Vijimambo
PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA
