NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-yUbqO8n5VQ0/XqAY8ncwsoI/AAAAAAAAHFo/CMvH89StCgwADMXJg5XK469u2-1kbLjdwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ametoa pole kwa familia 21 zilizopata msiba uliotokana na ajali ya basi iliyotokea maeneo ya kilimahewa wilayani Mkuranga mkoani Pwani na kuwataka wananchi kuchukua taadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona. Akizungumza na wanafamilia hao aliowatembelea kuwapa pole katika kata saba za Wilaya ya Mkuranga, Ulega aliwapatia kiasi zaidi ya Sh.milioni moja na unga kwa familia hizo za marahemu. ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziUHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA JIMBO LA MKURUNGA WASABABISHA NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA KUTOA MAELEKEZO KWA TARURA
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Abdallah Ulega amefanya ziara katika kata mbilimbali za jimbo hilo kwa lengo la kukagua miundombinu ya barabara ilivyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
Kutokana na uharibifu huo Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Ujenzi wa Barabara Vijijini (TARURA) kutafuta namna ya kuhakikisha barabara hizo zinapitika.
Akizungumza hivi karibuni jimboni humo na baadhi ya wananchi...
10 years ago
Michuzi19 Feb
WATU WAWILI WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA AJALI YA BASI KUGONGANA USO KWA USO NA LORI
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya Basi kugongana na Lori ajali iliyotokea tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema ajali hiyo imehusisha Basi lenye namba za usajili T. 663 AXL aina ya SCANIA Kampuni ya KIDIA ONE lililokuwa litokea Dar es Salaam kwenda Mwanza...
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Sita wafariki dunia ajali ya basi Mkuranga
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Watu kumi wamefariki dunia na majeruhi saba katika ajali mbaya iliyotokea Mbalizi leo
![3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/315.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-hm-_66A-Kz0/XoDpmuz-tSI/AAAAAAALlfY/MOz0WbWgMX0ugTcRg_9tstNhE94SOXY2gCLcBGAsYHQ/s72-c/PMO_7866AA-768x512.jpg)
MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA SOKOINE
![](https://1.bp.blogspot.com/-hm-_66A-Kz0/XoDpmuz-tSI/AAAAAAALlfY/MOz0WbWgMX0ugTcRg_9tstNhE94SOXY2gCLcBGAsYHQ/s640/PMO_7866AA-768x512.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo imeondokewa na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29, 2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine , Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo Lemburs
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/PMO_7869AA-1024x618.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PpREGcKtBC8/VcENwFnNFhI/AAAAAAAAjOs/3njdklZ-mDM/s72-c/01.jpg)
MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-PpREGcKtBC8/VcENwFnNFhI/AAAAAAAAjOs/3njdklZ-mDM/s640/01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tJeds231hKw/VcGeFK2k-qI/AAAAAAAAjTY/BqyHu8U7EOk/s640/1.jpg)
10 years ago
Habarileo10 Feb
JK atoa pole kwa ndugu walioteketea kwa moto
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki kuomboleza vifo vya watu sita wa familia moja waliopoteza maisha kwa ajali ya moto usiku wa kuamkia Jumamosi, Januari 7, 2015, katika eneo la Kipunguni A, Ukonga Banana, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.