Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO


 Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Peter Kisumo aliyefariki dunia jioni ya tarehe 3 Agosti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
  Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa marehemu Pater Kisumo, Hosiana Kisumo nyumbani kwa marehemu mtaa wa Isevya ,Upanga,Dar es Salaam.(Picha na Adam Mzee) BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBILAMBI KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesikitishwa na kuhuzunishwa mno na kifo cha mmoja wa wanasiasa wa kongwe nchini, Mzee Peter Kisumo ambaye alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhaminiwa Chama cha CCM naaliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya Serikali na utumishi wa umma ukiwemo uwaziri.
“Nimepokeakwamasikitikomakubwanahuzuninyingitaarifayakifo cha Mzee Peter Kisumoambayenimejulishwaaliagaduniajana,...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PETER KISUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo Upanga jijini Dar es salaam alipokwenda kwenye msiba wa mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, aliyefariki dunia Jumatatu katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili ambako alikuwa anapatiwa matibabu8 ya figo. Marehemu Mzee Kisumo alipata kuwa Mzee wa Chama cha TANU, Muasisi na mdhamini wa Chama cha CCM na aliyeshikilia nafasi nyingi za uongozi ndani ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA SOKOINE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na familia ya Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati alipokwenda kutoa pole kwa familia hiyo imeondokewa  na Lazaro Edward Sokoine jijini Dar es salaam, Machi 29, 2020. Kutoka kushoto ni Balozi Joseph Sokoine ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Rais, Halima Jama, Mama Napono Sokoine , Christina Towo Sokoine na Kulia ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Kivuyo LembursWaziri Mkuu, Kassim...

 

10 years ago

Vijimambo

MZEE PETER KISUMO AFARIKI DUNIA

Muasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mzee Peter Kisumo (pichani) amefariki dunia. Mwanasiasa huyo mkongwe nchini ambaye aliwahi kushika nyadhifa kadhaa katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, alifariki Dunia jana saa moja usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.Mtoto wa marehemu, Michael Kisumo alilithibitishia juu ya kifo cha baba yake akisema kilitokana na maradhi ya figo ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

“Tulikuja hapa Muhimbili kwa ajili ya mzee kufanyiwa dialysis (usafishaji damu...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA ATOA POLE KWA KWA FAMILIA YA MAREHEMU CHAMPANDA, KAKA YAKE KATIBU MKUU WA TFF



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Februari 22, 2020 ametoa pole kwa familia ya Mathew Champanda  nyumbani kwa marehemu eneo la Mwanga mjini Kigoma. Marehemu Champanda   ambaye ni kaka  mkubwa wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa MiguuTanzania  (TFF), Kidao Wilfred (wa pili kulia ) alifriiki dunia  Februari 19, 2020 na anatarajiwa kuzikwa leo...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega ametoa pole kwa familia 21 zilizopata msiba uliotokana na ajali ya basi iliyotokea maeneo ya kilimahewa wilayani Mkuranga mkoani Pwani na kuwataka wananchi kuchukua taadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.                                               Akizungumza na wanafamilia hao aliowatembelea kuwapa pole katika kata saba za Wilaya ya Mkuranga, Ulega aliwapatia kiasi zaidi ya Sh.milioni moja na unga kwa familia hizo za marahemu.                  ...

 

10 years ago

Mwananchi

Peter Kisumo afariki dunia

Muasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mzee Peter Kisumo amefariki dunia.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK atoa salamu za pole kwa wanahabari

RAIS Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara, kuomboleza vifo vya waandishi wa habari, Innocent Munyuku, wa kampuni ya New...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani