MZEE PETER KISUMO AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AYe8ydNDnQA/VcB7HAf5EfI/AAAAAAABTGo/s8c9Qmk1yJc/s72-c/kisumo.jpg)
Muasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mzee Peter Kisumo (pichani) amefariki dunia. Mwanasiasa huyo mkongwe nchini ambaye aliwahi kushika nyadhifa kadhaa katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, alifariki Dunia jana saa moja usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.Mtoto wa marehemu, Michael Kisumo alilithibitishia juu ya kifo cha baba yake akisema kilitokana na maradhi ya figo ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Aug
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-kcDHfOz-ffM/VcJOajbrNNI/AAAAAAAHuag/tcdG1bggd4E/s72-c/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PETER KISUMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-kcDHfOz-ffM/VcJOajbrNNI/AAAAAAAHuag/tcdG1bggd4E/s640/unnamed%2B%252844%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PpREGcKtBC8/VcENwFnNFhI/AAAAAAAAjOs/3njdklZ-mDM/s72-c/01.jpg)
MAGUFULI ATOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-PpREGcKtBC8/VcENwFnNFhI/AAAAAAAAjOs/3njdklZ-mDM/s640/01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-tJeds231hKw/VcGeFK2k-qI/AAAAAAAAjTY/BqyHu8U7EOk/s640/1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-l9fZFQ3mSCQ/VcC09mNOq1I/AAAAAAAHt3g/0DHlroN-TJ0/s72-c/images.jpg)
RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA RAMBILAMBI KWA FAMILIA YA MZEE PETER KISUMO
![](http://3.bp.blogspot.com/-l9fZFQ3mSCQ/VcC09mNOq1I/AAAAAAAHt3g/0DHlroN-TJ0/s320/images.jpg)
“Nimepokeakwamasikitikomakubwanahuzuninyingitaarifayakifo cha Mzee Peter Kisumoambayenimejulishwaaliagaduniajana,...
10 years ago
Mtanzania04 May
Peter Bunor afariki dunia Nigeria
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
NYOTA wa filamu nchini Nigeria, Peter Bunor, amefariki dunia Mei mosi mwaka huu baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi.
Kupitia mitandao ya kijamii, mtoto wa marehemu Peter Bunor Jnr, alithibitisha kifo hicho kwa kuandika: “Baba yangu, rafiki yangu, mwalimu wangu amefariki dunia leo.”
Bunor alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa huo kwa muda mrefu, hata hivyo aliwahi kusema kuwa marafiki wake wa karibu wamemtelekeza.
Msanii huyo mwaka 2010 alipongezwa na kituo cha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MSHAMBULIAJI GEBO PETER AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR71rBPWxGHdelQuK6hN8QFRbAn17RRcqet-mKwpfRJTOCRnwsdYuwJOi8t-C3CQsg8aCs9xNGYQxxJmTdkq-vWg/ojwang.jpg?width=600)
MZEE OJWANG AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE DUDE AFARIKI DUNIA