Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Peter Bunor afariki dunia Nigeria

brunoBADI MCHOMOLO NA MTANDAO
NYOTA wa filamu nchini Nigeria, Peter Bunor, amefariki dunia Mei mosi mwaka huu baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi.
Kupitia mitandao ya kijamii, mtoto wa marehemu Peter Bunor Jnr, alithibitisha kifo hicho kwa kuandika: “Baba yangu, rafiki yangu, mwalimu wangu amefariki dunia leo.”
Bunor alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa huo kwa muda mrefu, hata hivyo aliwahi kusema kuwa marafiki wake wa karibu wamemtelekeza.
Msanii huyo mwaka 2010 alipongezwa na kituo cha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Peter Kisumo afariki dunia

Muasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mzee Peter Kisumo amefariki dunia.

 

10 years ago

Vijimambo

MZEE PETER KISUMO AFARIKI DUNIA

Muasisi wa Tanu na baadaye CCM, Mzee Peter Kisumo (pichani) amefariki dunia. Mwanasiasa huyo mkongwe nchini ambaye aliwahi kushika nyadhifa kadhaa katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, alifariki Dunia jana saa moja usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.Mtoto wa marehemu, Michael Kisumo alilithibitishia juu ya kifo cha baba yake akisema kilitokana na maradhi ya figo ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

“Tulikuja hapa Muhimbili kwa ajili ya mzee kufanyiwa dialysis (usafishaji damu...

 

11 years ago

GPL

MSHAMBULIAJI GEBO PETER AFARIKI DUNIA

Mshambuliaji wa zamani wa Sigara na Simba, Gebo Peter amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Beki wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya' amethibitisha taarifa za kifo hicho.

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA ALIEWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ALIKOKUWA AKIPATIWA MATIBABU YA MRADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA.
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.

 

10 years ago

GPL

MWIGIZAJI MUNA OBIEKWE WA NIGERIA AFARIKI DUNIA

Mwigizaji Muna Obiekwe enzi za uhai wake. HABARI kutoka Nigeria zimesema mwigizaji maarufu wa kiume wa sinema nchini humo, Muna Obiekwe, amefariki jana katika hospitali ya Festac, jijini Lagos, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa figo. Vyanzo vilivyokuwa karibu na mwigizaji huyo, vinasema Muna alikuwa akipambana na matatizo ya figo ambayo alikuwa ameyafanya siri kwa muda mrefu kabla ya kumwambia rais wa chama cha waigizaji cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

11 years ago

GPL

PETER O’TOOLE WA ‘LAWRENCE OF ARABIA’ AFARIKI AKIWA NA MIAKA 81

                                                                   Peter O'Toole enzi za uhai wake.  MCHEZA sinema Peter O'Toole, aliyeng’aa mnamo mwaka  1962 alipocheza kama T. E. Lawrence katika filamu  ya...

 

10 years ago

GPL

Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA

Wasanii wa Wanaume Family, kutoka kushoto, Dogo Aslay, Stiko na YP (Kushoto) wakiwa katika pozi. Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’ amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua. Akizungumza na mtandao huu Kiongozi wa kundi hilo, Said Fela, amethibitisha msiba huo na kusema ratiba kamili itatoka leo mchana....

 

10 years ago

CloudsFM

Mez B afariki Dunia

Msanii wa Bongo Fleva,Mez B amefariki dunia muda mfupi uliopita huko mjini Dodoma - Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi! - Taarifa zaidi zitakujia kadri tutakavyozipokea!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani