Kwaheri Dr. Abdallah Omari Kigoda.

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi. Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

10 years ago
Dewji Blog02 Nov
Wananchi wa Handeni wampinga Omari Kigoda kurithi jimbo la Baba yake
Omari Kigoda
[TANZANIA] Baadhi ya wanachama Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Handeni Mkoani Tanga pamoja na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo wamesikitishwa kwa hatua ya Chama hicho kumpitisha Omari Kigoda (pichani) kuwania Ubunge ndani ya CCM katika kinyang’anyiro cha kuziba nafasi iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha Baba yake mzazi marehemu Dkt. Abdallah Kigoda.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka...
10 years ago
GPLWAZIRI ABDALLAH KIGODA AMEFARIKI DUNIA
10 years ago
TheCitizen12 Oct
Minister Abdallah Kigoda dies in India
11 years ago
IPPmedia22 May
Industry and Trade minister, Dr Abdallah Kigoda
IPPmedia
IPPmedia
The development of Special Economic Zones (EPZ) in the country has been very expensive “but the outcomes of this endeavour in the country's economic growth and employment creation have been promising.” Industry and Trade minister Dr Abdallah ...
Evicted Kurasini residents to get payDaily News
all 4
10 years ago
Michuzi14 Oct
RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA
JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA, 2015NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA
Muda Tukio Mhusika Saa 1.00 – 2.00Asubuhi Chai WoteMshereheshaji Saa 6.00 – 7.00 Mchana Chakula cha Mchana Wanafamilia na Waombolezaji Saa 8.30 – 9.00 Mchana Viongozi na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I
Viongozi/Waombolezaji Saa 9.00– 9.30Asubuhi Mwili ...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt. Abdallah Kigoda mjini Handeni, Tanga


10 years ago
Mwananchi19 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: OMARI NUNDU
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
OMARI KIPUTIPUTI: Elimu ya biashara muhimu kwa vijana
“ILI taifa liweze kuwa na maendeleo ni lazima liwe na watu wasomi wanaoweza kufanya kazi zao kwa kuzalisha mali badala ya kukaa na kusubiria misaada kutoka kwa wafadhili.” Hiyo ni...