Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OMARI KIPUTIPUTI: Elimu ya biashara muhimu kwa vijana

“ILI taifa liweze kuwa na maendeleo ni lazima liwe na watu wasomi wanaoweza kufanya kazi zao kwa kuzalisha mali badala ya kukaa na kusubiria misaada kutoka kwa wafadhili.” Hiyo ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Elimu kwa jamii muhimu kutambua dawa bandia

KAZI ya kuhakikisha afya ya mlaji na mtumiaji wa bidhaa inakuwa salama inafanywa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Tume ya Ushindani  na Mamlaka ya Viwango (TBS). Kwa sasa...

 

10 years ago

Habarileo

Butiku: Elimu kwa umma muhimu kupata Katiba

MJUMBE wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku, ametaka elimu kuhusu mchakato wa Katiba itolewe kwa Watanzania walio wengi, ili siku ya kupiga kura wafanye hivyo kwa dhamira yao wenyewe.

 

10 years ago

Michuzi

Saccoss za Vijana katika Halmashauri ni Muhimu: Vijana

Kijana Andrew Mlaki kutoka kikundi cha Akili ni Mwanga akielezea vijana wenzake (hawapo pichani) shughuli zinazofanywa na kikundi chake baada ya kikundi hicho kutembelewa na wawezeshaji waliofika Wilaya ya Mwanga kuhamasisha vijana na kuwapa elimu kuhusu ujuzi na stadi za maisha. Kushoto ni mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Ester Riwa. Afisa Vijana wa Wilaya ya Mwanga Bibi Subira Mfanga akizungumza na vijana walioshiriki semina ya uhamasishaji kuhusu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Biashara 37,000 zaanzishwa kupitia mradi wa ujasirimali kwa vijana —ILO

0012

Mratibu wa Mpango wa Ujasiriamali na Kukuza Ajira kwa Vijana ndani ya Shirika la kazi Duniani (ILO), Bw Mkuku Luis akitoa hotuba yake wakati akifungua mafunzo ya ujarimali kwa vijana yaliofanyika katika Desemba 19, 2014 jijini Dar es Salaam.(HABARI/PICHA NA PHILEMON SOLOMON FULLSHANGWEBLOG)

002

Afisa Habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa kitengo cha Mawasiliano (UNIC), Bi Usia Nkhoma Ledama akielezea zaidi kuhusiana na mafuzo hayo kwa vijana

003

Vijana mbalimbali kutoka mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya uchaguzi inahitajika kwa vijana

HUU ni mwaka wa uchaguzi, ifikapo mwezi wa nane nchi itakuwa katika harakati za kutafutwa rais wa awamu ya tano kurithi kiti cha Rais Jakaya Kikwete.

Mbali ya nafasi ya rais, nafasi nyingine zitakazowaniwa ni Wabunge na Madiwani kujaza nafasi zinazoachwa au kupigania nafasi moja katika majimbo au kata.

Lakini Watanzania wengi ambao wanaaminiwa kupiga kura ili kupatikana maamuzi ya mwisho ya kuwaweka madarakani viongozi hao wanashindwa kutimiza wajibu wao wa kushiriki kupiga...

 

11 years ago

Mwananchi

Urasimishaji wa biashara ni muhimu (2)

Binadamu anapozaliwa hupewa jina ambalo humtambulisha au humtofautisha na binadamu wenzingine. Hata hivyo kutokana na mabadiliko ya sayansi, teknolojia na kijamii baadhi ya watoto hupewa majina hata wangali tumboni mwa mama zao! 

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Eager latoa elimu kuhusu mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi

PIX 1

Naibu Kiongozi wa Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER) Bw. John Heath akiwaelimisha wadau mbalimbali wa Kampuni inashughulikia Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha inayofanyika tarehe 2-4 Septemba, 2015 jijini Dar es Salaam.

PIX 8

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Nishati ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Kabaka azinduwa mikopo ya elimu kwa vijana

Waziri wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya elimu na kuanzia maisha kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania (TPB) na Mfuko wa PSPF.

Waziri wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya elimu na kuanzia maisha kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania (TPB) na Mfuko wa PSPF.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumzia katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya mkopo wa elimu kwa wanachama wa mfuko wa PSPF leo jiji ni Dar es Salaam.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumzia katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya mkopo wa elimu kwa wanachama wa mfuko wa PSPF leo jiji ni Dar es Salaam.

IMG_0246

 

Waziri wa Kazi na Ajira...

 

9 years ago

Michuzi

Mzumbe yawataka watanzania kuwekeza elimu kwa vijana

Watanzania wametakiwa kuwekeza kwa kuwapatia vijana wao elimu ya juu ili kuwawezesha kuwa na maarifa yatakayowasaidia katika maisha yao na kutoa mchango kwa taifa.  Akizungumza katika mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Josephat Itika alisema elimu bora ndio njia ambayo itaweza kuwezesha vijana kufanikiwa na taifa kupata maendeleo endelevu.  “Elimu ndio chachu ya kweli ya maendeleo, ni lazima wazazi na walezi kuzingatia hili,” alisema Prof. Itika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani