Elimu ya uchaguzi inahitajika kwa vijana
HUU ni mwaka wa uchaguzi, ifikapo mwezi wa nane nchi itakuwa katika harakati za kutafutwa rais wa awamu ya tano kurithi kiti cha Rais Jakaya Kikwete.
Mbali ya nafasi ya rais, nafasi nyingine zitakazowaniwa ni Wabunge na Madiwani kujaza nafasi zinazoachwa au kupigania nafasi moja katika majimbo au kata.
Lakini Watanzania wengi ambao wanaaminiwa kupiga kura ili kupatikana maamuzi ya mwisho ya kuwaweka madarakani viongozi hao wanashindwa kutimiza wajibu wao wa kushiriki kupiga...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Jul
Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika: Ridhiwani Kikwete
![](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/xB_xK_4ZbrCP2CjiCaLZDp_VIYpJMOUfMG9dV4mIY9Yt4Rk2onn_RL-cLVpDiSY7e4mKB_75LZqhboKeBsqFcjVZzVpRQvJt5HmuRLYJ-YKi0dX6x9MwKr3VfzliTS7ZnbT8=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/07/ms.jpg)
Ridhiwani Kikwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ujuzi kwa vijana inashangaza kuona kuwa baadhi ya vijana wanajishughulisha katika kujikwamua kiuchumi lakini wengi hawafahamu kuhusu malengo ya maendeleo ya milenia amesema mbunge kijana kutoka Tanzania Ridhiwani Kikwete.Katika mahojiano na Joseph Msami alipotembelea makao makuu ya Umoja wa...
10 years ago
Michuzi18 Jul
Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika - Ridhiwani Kikwete
![ms](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/xB_xK_4ZbrCP2CjiCaLZDp_VIYpJMOUfMG9dV4mIY9Yt4Rk2onn_RL-cLVpDiSY7e4mKB_75LZqhboKeBsqFcjVZzVpRQvJt5HmuRLYJ-YKi0dX6x9MwKr3VfzliTS7ZnbT8=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2015/07/ms.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hXj4gw9-MpPSsGgicAaqaxTggaSK-51VFpsDKW6CqGm0RAVEtxT8ADgtwgT3lLY19zQVx8S3Mgrxwy2ik5-0v4grym1lnTkE/BARABARADAR2.jpg?width=650)
ELIMU YA USALAMA BARABARANI INAHITAJIKA KWA WATANZANIA
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Wataalam: Elimu ya kutosha inahitajika kupambana na Malaria
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Kweli Operesheni Okoa Elimu inahitajika nchini
WAKATI wanafunzi waliomaliza darasa la saba wakijiandaa kuanza muhula wa kwanza wa kidato cha kwanza, tatizo la kufika kwenye shule za kata bado ni changamoto kutokana na kuwa mbali na...
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Nguvu ya ziada inahitajika kukuza elimu nchini
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Waziri Kabaka azinduwa mikopo ya elimu kwa vijana
![Waziri wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya elimu na kuanzia maisha kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania (TPB) na Mfuko wa PSPF.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0212.jpg)
Waziri wa Kazi na Ajira nchini Tanzania, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya mikopo ya elimu na kuanzia maisha kwa wanachama wa Mfuko wa PSPF jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo inatekelezwa kwa ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania (TPB) na Mfuko wa PSPF.
![Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumzia katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya mkopo wa elimu kwa wanachama wa mfuko wa PSPF leo jiji ni Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/12/IMG_0170.jpg)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi akizungumzia katika hafla ya uzinduzi wa huduma ya mkopo wa elimu kwa wanachama wa mfuko wa PSPF leo jiji ni Dar es Salaam.
Waziri wa Kazi na Ajira...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-akw_DmpYaq0/VmPxIQeU4-I/AAAAAAAIKag/BRUJigoR3eY/s72-c/IMG_4833.jpg)
Mzumbe yawataka watanzania kuwekeza elimu kwa vijana