Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzumbe yawataka watanzania kuwekeza elimu kwa vijana

Watanzania wametakiwa kuwekeza kwa kuwapatia vijana wao elimu ya juu ili kuwawezesha kuwa na maarifa yatakayowasaidia katika maisha yao na kutoa mchango kwa taifa.  Akizungumza katika mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kaimu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Josephat Itika alisema elimu bora ndio njia ambayo itaweza kuwezesha vijana kufanikiwa na taifa kupata maendeleo endelevu.  “Elimu ndio chachu ya kweli ya maendeleo, ni lazima wazazi na walezi kuzingatia hili,” alisema Prof. Itika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania watakiwa kuwekeza kwenye elimu

WATANZANIA wametakiwa kuwekeza katika elimu na kushirikiana kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu badala ya kuwaachia wanasiasa pekee. Rai hiyo ilitolewa mjini hapa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Shule...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKEZA KWA KUWAJALI WATOTO

Mkuu wa Kitengo cha Usuluishi na Ushauri wa Sheria (katikati) akisisitiza jambo kwa wanahabari alipokuwa akitoa tamko kwa vyombo vya habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Bi. Valerie Msoka. Kushoto ni Mwanasheria wa Tamwa, Loyce Gondwe na kulia ni Mwanachama wa TAMWA, Marie Shaba. Mkutano wa waandishi wa habari pamoja na wawakilishi wa TAMWA wakisoma tamko lao juu ya umuhimu wa jamii kuwajali watoto.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pipe Industries yawataka Watanzania kuzingatia ubora

KIWANDA cha utengenezaji mabomba ya plastiki, Pipe Industries, kimewataka Watanzania kuangalia ubora wa bidhaa na si kufuata bei nafuu. Akizungumza katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam, Ofisa...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yawataka Vijana kuzingatia vigezo ili wapate mkopo

Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Vijana Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo anayesimamia Kitengo cha Uratibu na Uwezeshaji Dr. Steveni Kissui (aliyesimama) akifungua mafunzo ya jinsi ya kujikwamua na umasikini kwa Vijana wa Manispaa ya Singida,Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Ester Riwa.Mkuu wa Kitengo cha Sheria Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Ester Riwa aliyesimama akivifundisha vikundi mbalimbali vya...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Elimu ya uchaguzi inahitajika kwa vijana

HUU ni mwaka wa uchaguzi, ifikapo mwezi wa nane nchi itakuwa katika harakati za kutafutwa rais wa awamu ya tano kurithi kiti cha Rais Jakaya Kikwete.

Mbali ya nafasi ya rais, nafasi nyingine zitakazowaniwa ni Wabunge na Madiwani kujaza nafasi zinazoachwa au kupigania nafasi moja katika majimbo au kata.

Lakini Watanzania wengi ambao wanaaminiwa kupiga kura ili kupatikana maamuzi ya mwisho ya kuwaweka madarakani viongozi hao wanashindwa kutimiza wajibu wao wa kushiriki kupiga...

 

9 years ago

Habarileo

Wahitimu Mzumbe washauriwa kutumia elimu kuboresha chuo

WAHITIMU Chuo Kikuu Mzumbe wameshauriwa kutumia elimu waliyoipata katika kuchochea maendeleo ya chuo hicho na ya taifa kwa ujumla. Rais wa Masajili ya chuo hicho, (Mzumbe University Convocation), Ludovick Utouh ambaye pia ni Mkaguzi Mkuu mstaafu wa Hesabu za Serikali, alitoa mwito huo katika mkutano wa masajili ya 15 ya chuo mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chadema Yaipa NEC siku tatu……Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa

Saturday, October 10, 2015 Naibu Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika ametoa siku tatu kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, (NEC) kukabidhi nakala ya Daftari la Wapigakura kwa vyama vya siasa kwa ajili ya uhakiki vinginevyo […]

The post Chadema Yaipa NEC siku tatu……Yawataka Watanzania Wampuuze Dr. Slaa appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

ELIMU YA USALAMA BARABARANI INAHITAJIKA KWA WATANZANIA

Magari haya yalikutana hivi barabarani maeneo ya Ubungo.  Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya magari hayo kukutana. Dereva…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani