Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahitimu Mzumbe washauriwa kutumia elimu kuboresha chuo

WAHITIMU Chuo Kikuu Mzumbe wameshauriwa kutumia elimu waliyoipata katika kuchochea maendeleo ya chuo hicho na ya taifa kwa ujumla. Rais wa Masajili ya chuo hicho, (Mzumbe University Convocation), Ludovick Utouh ambaye pia ni Mkaguzi Mkuu mstaafu wa Hesabu za Serikali, alitoa mwito huo katika mkutano wa masajili ya 15 ya chuo mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu Mzumbe Mbeya washauriwa kuwa wapambanaji

VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakiwa wanajiamini na kujipambanua kiuwezo kutokana na elimu waliyopata chuoni. Akizungumza wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...

 

10 years ago

GPL

WAHITIMU KIDATO CHA SITA JANGWANI WAASWA KUTUMIA ELIMU KAMA SILAHA YA UKOMBOZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita mwishoni mwa wiki wakati alipokuwa mgeni rasmi katika wa mahafali hayo shuleni Jangwani sekondari iliyopo manispaa ya Ilala Jijini Dare s salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Tausi Dreams Foundation Tausi Likokola (wa katikati) na baadhi wa viongozi wa shule wakielekea eneo la mahafali ya kidato cha sita ya shule ya...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA

1Kaimu Mkuu wa Chuo Mzumbe Prof. Josephat Itika akizungumza katika hafla ya kikundi cha wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 2Wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 wakimsikiliza Prof. Josephat Itika wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 4Wana kamati waliondaliwa kwaajili ya kufungua shampeni wakati wa hafla hiyo. 5Naibu ...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) WANAOISHI NYANDA ZA JUU KUSINI

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Michuzi

AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI

Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) imesaini mkataba wa miaka miwili (MoU) na Chuo Kikuu cha Afya cha Muhimbili (MUHAS) idara ya Mazingira na Afya bora kazini(Environmental and Occupational Health Sciences) ili kuboresha taluma za madaktari.
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu 3,900 kutunukiwa Mzumbe kuanzia leo

CHUO Kikuu Mzumbe kinatarajia kuwatunuku jumla ya wahitimu 3,943 katika madaraja mbalimbali kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chuo hicho, Rainfrida Ngatunga, ilieleza mahafali katika kampasi...

 

10 years ago

Mwananchi

Bima ya Afya washauriwa kuboresha

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeshauriwa kuboresha huduma za Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili wanachama waweze kupata huduma za afya popote watakapokuwa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani