Wahitimu 3,900 kutunukiwa Mzumbe kuanzia leo
CHUO Kikuu Mzumbe kinatarajia kuwatunuku jumla ya wahitimu 3,943 katika madaraja mbalimbali kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chuo hicho, Rainfrida Ngatunga, ilieleza mahafali katika kampasi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
500 kutunukiwa shahada Mzumbe leo
JUMLA ya wahitimu 536 wanatarajiwa kuhitimu na kutunukiwa shahada katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, kampasi ya Mbeya leo. Wahitimu hao ni kati ya wahitimu 3,554 katika kampasi...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Wahitimu Mzumbe Mbeya washauriwa kuwa wapambanaji
VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakiwa wanajiamini na kujipambanua kiuwezo kutokana na elimu waliyopata chuoni. Akizungumza wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu...
9 years ago
Habarileo08 Dec
Wahitimu Mzumbe washauriwa kutumia elimu kuboresha chuo
WAHITIMU Chuo Kikuu Mzumbe wameshauriwa kutumia elimu waliyoipata katika kuchochea maendeleo ya chuo hicho na ya taifa kwa ujumla. Rais wa Masajili ya chuo hicho, (Mzumbe University Convocation), Ludovick Utouh ambaye pia ni Mkaguzi Mkuu mstaafu wa Hesabu za Serikali, alitoa mwito huo katika mkutano wa masajili ya 15 ya chuo mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.
10 years ago
Michuzi02 Mar
HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/13.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/24.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/41.jpg)
![5](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/51.jpg)
10 years ago
Michuzi25 Nov
Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)
Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yxqZN51jFu8/XlaKgOsYYFI/AAAAAAALfkE/Hq77cbPEG8QrIz_0hB7A9QN5r4J3RsIcQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE
Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...
10 years ago
Michuzi26 Nov
Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) Novemba 29, 2014 Isumba Lounge
Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014 kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...
11 years ago
Habarileo20 Dec
Leo ni mahafali ya kampasi ya Mzumbe Dar es Salaam
WAHITIMU 1,225 wanatarajia kupata shahada za uzamili katika programu mbalimbali wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam leo.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Jangwani Hapatoshi kuanzia leo
Licha ya mamlaka ya hali ya hewa kutangaza mvua kali na upepo na kuwataka watu wasitoke njee.watu wameamua kulala hapo hapo.
The post Jangwani Hapatoshi kuanzia leo appeared first on Mzalendo.net.