Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


500 kutunukiwa shahada Mzumbe leo

JUMLA ya wahitimu 536 wanatarajiwa kuhitimu na kutunukiwa shahada katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, kampasi ya Mbeya leo. Wahitimu hao ni kati ya wahitimu 3,554 katika kampasi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu 3,900 kutunukiwa Mzumbe kuanzia leo

CHUO Kikuu Mzumbe kinatarajia kuwatunuku jumla ya wahitimu 3,943 katika madaraja mbalimbali kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chuo hicho, Rainfrida Ngatunga, ilieleza mahafali katika kampasi...

 

11 years ago

Habarileo

123 watunukiwa Shahada ya Ualimu Mzumbe

VYUO vikuu nchini vinaendelea kupunguza pengo la uhaba wa walimu wa shule za sekondari nchini baada ya wahitimu 123 wa Chuo Kikuu Mzumbe kutunukiwa shahada ya kwanza sayansi na ualimu wa masomo mbalimbali, ikiwemo hisabati, biashara na lugha ya menejimenti.

 

11 years ago

GPL

MARGARETH SIMALENGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE CHUO KIKUU CHA MZUMBE‏

Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management) katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Cumpas ya Dar es salaam yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.…

 

9 years ago

Michuzi

NAHODHA WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA ALAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA PILI KATIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE KAMPASI YA DARA ES SALAAM

 Aliyewahi kuwa nahodha wa Yanga na Timu ya Taifa (Taifa Stars) Ally Mayay Tembele alikuwa ni miongoni mwa wahitimu zaidi ya 800 waliotunukiwa shahada za uzamili katika fani mbalimbali kutoka katika Chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es salaam .Katika sherehe hizo za  mahafali ya 14 ya Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya  DSM  zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano wa J.K.Nyerere jijini Dar es salaam, Tembele alitunukiwa Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Masoko(Msc Marketing...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)



Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE


Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa  Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) Novemba 29, 2014 Isumba Lounge


Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014 kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

11 years ago

Habarileo

Leo ni mahafali ya kampasi ya Mzumbe Dar es Salaam

WAHITIMU 1,225 wanatarajia kupata shahada za uzamili katika programu mbalimbali wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATUNUKU VYETI NA SHAHADA WAHITIMU ESAMI LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha alipowasili kwenye Taasisi hiyo leo Novemba 22,2014 kuhudhuria Mahafali ya nane ya Taasisi hiyo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa pili kulia na Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha akiongoza maandamano ya mahafali ya nane ya Taasisi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani