123 watunukiwa Shahada ya Ualimu Mzumbe
VYUO vikuu nchini vinaendelea kupunguza pengo la uhaba wa walimu wa shule za sekondari nchini baada ya wahitimu 123 wa Chuo Kikuu Mzumbe kutunukiwa shahada ya kwanza sayansi na ualimu wa masomo mbalimbali, ikiwemo hisabati, biashara na lugha ya menejimenti.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziAnkal Shahada Ibrahim alamba Nondozz yake ya Ualimu
Ankal wake na Ankal wa Libeneke la Globu ya Jamii,Bi. Shahada Ibrahim (wa tatu kulia) akiwa na Wahitimu wenzake wa Ualimu kwa ngazi ya Cheti wakirusha kwa pamoja kofia zao juu mara baada ya kula Nondozz zao katika Chuo ya Ualimu cha Mtakatifu Rock kilichopo Wilayani Korogwe,Mkoani Tanga,ikiwa ni mahafali ya Nane ya chuo hicho ambayo yalifanyika jana Mei 17,2014 Chuoni hapo.
Ankal Shahada Ibrahim akipozi na Wahitimu wenzake.
Shahada Ibrahimu akiwa ni mwenye furaha tele baada ya kulamba...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
500 kutunukiwa shahada Mzumbe leo
JUMLA ya wahitimu 536 wanatarajiwa kuhitimu na kutunukiwa shahada katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, kampasi ya Mbeya leo. Wahitimu hao ni kati ya wahitimu 3,554 katika kampasi...
11 years ago
GPLMARGARETH SIMALENGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE CHUO KIKUU CHA MZUMBE
Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management) katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Cumpas ya Dar es salaam yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.…
9 years ago
MichuziNAHODHA WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA ALAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA PILI KATIKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE KAMPASI YA DARA ES SALAAM
Aliyewahi kuwa nahodha wa Yanga na Timu ya Taifa (Taifa Stars) Ally Mayay Tembele alikuwa ni miongoni mwa wahitimu zaidi ya 800 waliotunukiwa shahada za uzamili katika fani mbalimbali kutoka katika Chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es salaam .Katika sherehe hizo za mahafali ya 14 ya Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya DSM zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano wa J.K.Nyerere jijini Dar es salaam, Tembele alitunukiwa Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Masoko(Msc Marketing...
11 years ago
Michuzi31 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA
USAJILI NA.TLF/011P
NAMBA YA KITUO CHA MITIHANIE.643.
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015 NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA. FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...
CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI NA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2014 - 2015 NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NA CHILD DEVELOPMENT - 2014-2015 ADA YA MWAKA MOJA PAMOJA NA HOSTEL NI MILLIONI MOJA (1,000,000) UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU NNE NDANI YA MWAKA MMOJA. FORM ZA SHULE ZINAPATIKANA kwa maelezo zaidi wasiliana na njia ya barua pepee; rugemba@gmail.com REGEMBA CHUONI -0753 038336 DAR ES SALAAM -BOKO...
10 years ago
Michuzi25 Nov
Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)
Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...
5 years ago
MichuziWANAWAKE CHUO KIKUU MZUMBE WAKABIDHI JENGO LA CHOO CHA WAVULANA SHULE YA MSINGI MZUMBE
Ikiwa zimebaki siku chache kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya Wanawake ya Chuo Kikuu Mzumbe wakiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo wamekabidhi choo cha Wavulana kwa shule ya msingi Mzumbe baada ya kukifanyia ukarabati.
Akizungumza kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Chuo wakati wa hafla ya makabidhiano, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Prof. Ernest Kihanga, ameipongeza Jumuiya ya Wanawake wafanyakazi wa Chuo Kikuu...
11 years ago
Michuzi27 May
NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU 2014-2015 CHUO CHA UALIMU CHA RUNGEMBA, MAFINGA, IRINGA
CHUO CHA UALIMU RENGEMBA MAFINGA IRINGA - USAJILI NA. TLF/011P- NAMBA YA KITUO CHA MITIHANI E.643.
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1) 2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013) 3. MAFUNZO...
1. MAFUNZO YA UALIMU STASHAHADA (SECONDARY) 'DIPLOMA IN SECONDARY' (DSEE) KWA MIAKA 2 Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha sita (v1) na ufaulu wa principal (1) subsidiary (1) 2. UALIMU DARAJA LA 111-A - NGAZI YA CHETI (CATCE) - KWA MIAKA 2. Sifa za mwombaji - awe amemaliza kidato cha nne (1V) na ufaulu wa alama 26-27 (kwa mwaka 2004-2012) au alama 32-34 (kwa mwaka2013) 3. MAFUNZO...
10 years ago
Michuzi26 Nov
Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) Novemba 29, 2014 Isumba Lounge
Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014 kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania