Ankal Shahada Ibrahim alamba Nondozz yake ya Ualimu
Ankal wake na Ankal wa Libeneke la Globu ya Jamii,Bi. Shahada Ibrahim (wa tatu kulia) akiwa na Wahitimu wenzake wa Ualimu kwa ngazi ya Cheti wakirusha kwa pamoja kofia zao juu mara baada ya kula Nondozz zao katika Chuo ya Ualimu cha Mtakatifu Rock kilichopo Wilayani Korogwe,Mkoani Tanga,ikiwa ni mahafali ya Nane ya chuo hicho ambayo yalifanyika jana Mei 17,2014 Chuoni hapo. Ankal Shahada Ibrahim akipozi na Wahitimu wenzake. Shahada Ibrahimu akiwa ni mwenye furaha tele baada ya kulamba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBinti wa Ankal alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha Dodoma leo
Binti wa Ankal,Bi. Zahra Muhidin Michuzi akiendelea kujiachia mbele ya Kamera.Bi Zahra akiendelea kupata taswira mbali mbali.Kwa raha zake Binti Ankal.Pozi la Selfie na mdogo wake.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
MichuziMdau Zainab Mwinyijuma alamba nondozz yake
10 years ago
MichuziMdau Khamis Mkotya alamba nondozz yake
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
10 years ago
MichuziMdau Anne Kivembele alamba Nondozz yake katika Chuo Kikuu Huria jijini Dar
10 years ago
MichuziMdau Meshack Ndoje alamba nondozz yake Chuo Kikuu cha Dar es salaam University
Mdau Meshack Ndoje akiwa na baadhi ya ndugu zake waliofika kumsapoti kwenye mahafali hayo.
11 years ago
MichuziMdau Ismail Bibangamba alamba nondozz yake katika chuo kikuu cha Bowie State University
11 years ago
MichuziMdau Zainab Kessy Mtambo alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha Taylor's University
10 years ago
MichuziMdau Salum Mpenda alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza
9 years ago
Michuzi18 Dec
MDAU SABINA LEONCE KOMBA ALAMBA NONDOZZ YAKE YA PILI KATIKA UONGOZI WA MIRADI CHUO KIKUU HURIA