Mdau Khamis Mkotya alamba nondozz yake
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya ametunukiwa Shahada ya Sayansi ya Jamii katika Siasa, Uongozi na Utawala (Political Scince and Public Administration), baada ya kuhitimu masomo yake ya elimu ya juu.
Mkotya pamoja na wahitimu wengine walitunukiwa shahada zao mwishoni mwa wiki wakati wa mahafali ya 26 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika eneo la Bungo, Kibaha mkoani Pwani.
Wahitimu wote walitunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMdau Zainab Mwinyijuma alamba nondozz yake
10 years ago
MichuziMdau Anne Kivembele alamba Nondozz yake katika Chuo Kikuu Huria jijini Dar
10 years ago
MichuziMdau Meshack Ndoje alamba nondozz yake Chuo Kikuu cha Dar es salaam University
Mdau Meshack Ndoje akiwa na baadhi ya ndugu zake waliofika kumsapoti kwenye mahafali hayo.
11 years ago
MichuziMdau Zainab Kessy Mtambo alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha Taylor's University
11 years ago
MichuziMdau Ismail Bibangamba alamba nondozz yake katika chuo kikuu cha Bowie State University
9 years ago
Michuzi18 Dec
MDAU SABINA LEONCE KOMBA ALAMBA NONDOZZ YAKE YA PILI KATIKA UONGOZI WA MIRADI CHUO KIKUU HURIA
10 years ago
MichuziMdau Salum Mpenda alamba nondozz yake katika Chuo Kikuu cha South Wales,nchini Uingereza
10 years ago
MichuziMdau Ephrahim Mushi alamba Nondozz yake ya Masters degree in Environmental Science katika Chuo Kikuu cha Wageningen University nchini Uholanzi
9 years ago
MichuziMdau Lusekelo Ambokile alamba nondozz katika Chuo Kikuu cha Middlesex, UK