Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahitimu Mzumbe Mbeya washauriwa kuwa wapambanaji

VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakiwa wanajiamini na kujipambanua kiuwezo kutokana na elimu waliyopata chuoni. Akizungumza wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wahitimu Mzumbe washauriwa kutumia elimu kuboresha chuo

WAHITIMU Chuo Kikuu Mzumbe wameshauriwa kutumia elimu waliyoipata katika kuchochea maendeleo ya chuo hicho na ya taifa kwa ujumla. Rais wa Masajili ya chuo hicho, (Mzumbe University Convocation), Ludovick Utouh ambaye pia ni Mkaguzi Mkuu mstaafu wa Hesabu za Serikali, alitoa mwito huo katika mkutano wa masajili ya 15 ya chuo mjini Morogoro mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu 3,900 kutunukiwa Mzumbe kuanzia leo

CHUO Kikuu Mzumbe kinatarajia kuwatunuku jumla ya wahitimu 3,943 katika madaraja mbalimbali kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chuo hicho, Rainfrida Ngatunga, ilieleza mahafali katika kampasi...

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA

1Kaimu Mkuu wa Chuo Mzumbe Prof. Josephat Itika akizungumza katika hafla ya kikundi cha wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 2Wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 wakimsikiliza Prof. Josephat Itika wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 4Wana kamati waliondaliwa kwaajili ya kufungua shampeni wakati wa hafla hiyo. 5Naibu ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vijana washauriwa kuwa na moyo wa kujitolea

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akitoa nasaa zake kwa Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali hapa nchini Tanzania wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea Duniani ambapo Tanzania yamefanyika jijini Dar. (Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Awa Dabo akitoa historia ya kujitolea pamoja na kuwasisitiza vijana kuwa na moyo wa kujitolea katika...

 

11 years ago

Habarileo

Washauriwa kuwa makini matumizi ya pampasi

WATOTO wa kike wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya njia ya mkojo, aleji na hata upele kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya pampasi anayovishwa mtoto kumsitiri anapojisaidia na kubaki nayo kwa muda mrefu.

 

9 years ago

Vijimambo

94 WAHITIMU ELIMU YA MSINGI SHINNING SCHOOL SONGWE MBEYA


Wahitimu wa elimu ya msingi katika shule ya kimataifa ya Shinning School  Songwe Mbeya wakiwa katika maandamano ikiwa ni sehemu ya kufurahia tukio hilo mwishoni mwa wiki mkoani hapa (Picha Jamiimojablog)




Wazazi wakiwa  katika nyuso za furaha baada ya watoto wao kuhitimu elimu ya msingi katika shule hiyo

MKurugenzi Mtendaji wa shule ya kimataifa ya Shinning School iliyopo nje kidogo ya mji wa mbeya eneo la songwe kiwandani Amani Kajuna ambaye pia ni Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Mbeya akizungumza...

 

10 years ago

StarTV

Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.

Na Mbone Harman,

Tanga.

Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.

Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.

Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAHITIMU WAHIMIZWA KUWA NA MTAJI UJUZI

Mkuu wa Chuo cha Royal, Nsajigwa Lugano akizungumza na waandishi wa habari (hwapo pichani) waliohudhuria katika semina ya Wanachuo hicho,iliyoandaliwa na kampuni ya Mpango Mkakati pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la nchini Marekani la (VSO) semina iliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho jijini Dar es Salaam leo. Katika Semina hiyo, Wahitimu wameaswa kuutumia ujuzi wao katika kujiajiri na sio kusubia kuajiwa.Picha na Avila Kiango, Globu ya Jamii.Naibu Waziri wa Elimu wa chuo...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wawaliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni)



Sekretariet ya jumuiya ya waliosoma shule ya sekondari Mzumbe (Mzumbe Secondary School Alumni) inawataarifu wanajumuiya wote kuwa Jumamosi ya Tarehe 29 mwezi Novemba 2014kutafanyika mkutano wa wanachama wote jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Jolly Club - Isumba Lounge kuanzia saa nane mchana.
Tangu kuanzishwa kwake Jumuiya ya waliosoma Mzumbe Sekondari imeshirikiana na uongozi wa shule hiyo kuainisha maeneo mbalimbali ambayo jumuiya hiyo itashiriki kuyaboresha.Katika mkutano huo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani