WAHITIMU WAHIMIZWA KUWA NA MTAJI UJUZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-7TlxLQLocTM/VWCFZ8Ux2mI/AAAAAAAHZaM/XKttnV7F0rM/s72-c/2.jpg)
Mkuu wa Chuo cha Royal, Nsajigwa Lugano akizungumza na waandishi wa habari (hwapo pichani) waliohudhuria katika semina ya Wanachuo hicho,iliyoandaliwa na kampuni ya Mpango Mkakati pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la nchini Marekani la (VSO) semina iliyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho jijini Dar es Salaam leo. Katika Semina hiyo, Wahitimu wameaswa kuutumia ujuzi wao katika kujiajiri na sio kusubia kuajiwa.Picha na Avila Kiango, Globu ya Jamii.
Naibu Waziri wa Elimu wa chuo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Dec
Pinda azungumzia tofauti ya ujuzi kwa wahitimu
SERIKALI imesema changamoto iliyopo sasa ni kuweka sawa mitaala ya elimu ili kuweza kuwa na wahitimu bora ambao ndio watakaokuwa waajiri wa baadaye.
10 years ago
Habarileo29 Dec
Wahitimu vyuo vikuu wahimizwa kujiajiri
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma, Harun Ali Suleiman amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kutumia taaluma zao kwa lengo la kujiajiri badala ya kusubiri ajira serikalini.
9 years ago
Michuzi31 Aug
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65fGqmZiAxnVDuDknsZs2473xOHSEL5HN8Nwkaa1cp6SNF1DLFk9Xwm4gWwO-C2my06LguO1Vx0iRA9B9fNslnY/JAJILUBUVA.jpg?width=650)
TUSIGEUZE UCHAGUZI KUWA MTAJI WA KUCHUMIA FEDHA
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
ANNASIMA MNUBI: Kuwa mjasiriamali si lazima uwe na mtaji mkubwa
Ni wazi kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo iliyowafanya wanawake wengi wakajiingiza katika ujasiriamali na kuachana na dhana ya utegemezi kwa wanaume wao kama ilivyokuwa awali. Wanawake kwa sasa wamekuwa...
10 years ago
StarTV05 Jan
Wahitimu JKT waaswa kuwa waadilifu.
Na Mbone Harman,
Tanga.
Wahitimu wa JKT kwa mujibu wa sheria wametakiwa kuyatumia mafunzo waliyoyapata kuwafundisha wanafunzi uadilifu kama sehemu ya kuandaa kizazi kijacho chenye uwezo wa kuipinga rushwa kwa maslahi ya Taifa.
Ni kauli ya mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Meja Hamadi Malesa wakati wa sherehe ya wahitimu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kikosi cha 835 JK kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga.
Wahitimu hao wanatakiwa kuyatumia mafunzo hayo ipasavyo...
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Wanawake wahimizwa kuwa nafasi za uongozi
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22.
Na Fredy Mgunda, Iringa
JAMII imeaswa kuacha mitazamo dhaifu na yenye kejeri kwa wanawake wanaojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa.
Aidha wanawake wenyewe wameshauriwa kutolegea na kuwa na misimamo pindi wanapotaka kuingia madarakani kwa kujiamini na kutokubali kutumiwa kama...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Wahitimu Mzumbe Mbeya washauriwa kuwa wapambanaji
VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakiwa wanajiamini na kujipambanua kiuwezo kutokana na elimu waliyopata chuoni. Akizungumza wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Mahiga awataka wahitimu Udom kuwa wajasiriamali