TUSIGEUZE UCHAGUZI KUWA MTAJI WA KUCHUMIA FEDHA
![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65fGqmZiAxnVDuDknsZs2473xOHSEL5HN8Nwkaa1cp6SNF1DLFk9Xwm4gWwO-C2my06LguO1Vx0iRA9B9fNslnY/JAJILUBUVA.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Nec, Jaji Damian Lubuva. TUMSHUKURU Mungu kwa kuwa nchi yetu ya Tanzania kwa mara nyingine tena inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 25, mwaka huu tukiwa na amani, hivyo ahimidiwe daima.Nasema hivyo kwa kuwa baadhi ya vijana waliofikisha miaka 18 hivi karibuni hawajawahi kushiriki kwenye uchaguzi wowote na uchaguzi huu ni wa kwanza kwao. Vijana hawa na watu wengine, wanahitaji kujifunza au kukumbushwa juu ya mambo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-7TlxLQLocTM/VWCFZ8Ux2mI/AAAAAAAHZaM/XKttnV7F0rM/s72-c/2.jpg)
WAHITIMU WAHIMIZWA KUWA NA MTAJI UJUZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-7TlxLQLocTM/VWCFZ8Ux2mI/AAAAAAAHZaM/XKttnV7F0rM/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cv6dVg09jOA/VWCFaEFte_I/AAAAAAAHZaQ/MhREFB3Pn1c/s640/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
ANNASIMA MNUBI: Kuwa mjasiriamali si lazima uwe na mtaji mkubwa
Ni wazi kuwa hali ngumu ya kiuchumi ndiyo iliyowafanya wanawake wengi wakajiingiza katika ujasiriamali na kuachana na dhana ya utegemezi kwa wanaume wao kama ilivyokuwa awali. Wanawake kwa sasa wamekuwa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GJfP2j1kdxg/VdghzHcNzNI/AAAAAAAHzEI/zxcaG_cu4_g/s72-c/IMG-20150801-WA0050.jpg)
CCM YAANZA NA MTAJI WA UBUNGE KABLA YA UCHAGUZI MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-GJfP2j1kdxg/VdghzHcNzNI/AAAAAAAHzEI/zxcaG_cu4_g/s320/IMG-20150801-WA0050.jpg)
Hatua hiyo Imetokea baada ya wagombea wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Na aliekuwa Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF Kutojitokeza Kurudisha Fomu...
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
10 years ago
Vijimambo12 Dec
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Tusigeuze nchi gwaride la kijeshi
KATIKA siku za nyuma Watanzania wengi, Bara na Visiwani, walionekana kupumua pale Serikali ambayo ilikuwa ikipenda kutumia amri, badala ya sheria ilipoonekana kuwa na uvumiivu kwa watu kujieleza na kutoa maoni...
11 years ago
Habarileo07 Apr
CWT watakiwa kuwa wawazi na fedha za michango
UONGOZI wa Chama cha Walimu (CWT) umenasihiwa kuongeza uwazi juu ya fedha za chama zinazotokana na michango ya walimu ili kupunguza shutuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha.
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Sarkozy ahojiwa kuhusu fedha za uchaguzi