Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wa Handeni wampinga Omari Kigoda kurithi jimbo la Baba yake

Omari Kigoda

                                                                                 Omari Kigoda

[TANZANIA]  Baadhi ya wanachama  Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Handeni  Mkoani Tanga pamoja na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo wamesikitishwa kwa hatua ya Chama hicho kumpitisha Omari Kigoda (pichani) kuwania Ubunge ndani ya CCM  katika kinyang’anyiro cha kuziba  nafasi iliyoachwa wazi kufuatia kifo cha Baba yake mzazi marehemu Dkt. Abdallah Kigoda.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali kutoka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DKT KIGODA ANASTAHILI KUPUMZIKA JIMBO LA HANDENI

NA KAMBI MBWANA, DAR ES SALAAM.
UKWELI unauma. Na ili ufahamu hilo, mara nyingi watu wanaosema ukweli huwa hawapendwi. Watazushiwa na kusemwa mno kutokana na misimamo yao ya ukweli wanayosema mbele ya hadhira.
Wakati nasema haya, najipa moyo kuwa hata kama wapo watakaochukizwa na ukweli wangu, ila ipo siku jamii itaishi vizuri kutokana na kukombolewa na harakati za ukweli zinazoweza kupingwa na wachache wao waliokuwa kwenye nafasi mbalimbali za kiutawala.
Ndio, bora niseme tu Dkt Abdallah Omary...

 

9 years ago

Michuzi

Kwaheri Dr. Abdallah Omari Kigoda.

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi.  Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...

 

9 years ago

Vijimambo

PROFESA MARK MWANDOSYA ATOA YA MOYONI KUHUSU MAREHEMU DR. ABDALLAH OMARI KIGODA

Na Profesa Mark MwandosyaImenichukua muda wa zaidi ya saa ishirini kuandika machache kuhusu Dr. Abdallah Omari Kigoda, aliyetutoka akiwa Hospitali ya Apollo, New Delhi, India baada ya kuugua kwa muda mfupi.  Katika kipindi hicho nimekuwa nikitafakari maneno gani yanaweza kumwelezea Dr. Abdallah Omari Kigoda, maneno ambayo yanaweza kumtendea haki, kuonyesha masikitiko yangu na familia yangu, na kutoa pole kwa familia yake, mkewe, watoto na ukoo wote wa Kigoda, wakiwa Handeni na popote...

 

9 years ago

Habarileo

Handeni wahuzunika kwa kifo cha Dk Kigoda

WAKAZI wa Halmashauri ya wilaya ya Handeni wamesema wamepokea kwa masikitiko makubwa msiba wa aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo, Dk Abdallah Kigoda aliyefariki India alikokuwa akipatiwa matibabu.

 

9 years ago

Mwananchi

Lema aongoza ubunge Arusha, Kigoda Handeni

Arusha/Handeni. Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema anaelekea kuibuka tena kidedea baada ya kuongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo uliofanyika jana akimuacha mbali mshindani wake, Philemon Mollel wa CCM.

 

9 years ago

TheCitizen

Kigoda Junior wins father’s Handeni Urban parliamentary seat

CCM candidate Omari Abdallah Kigoda was declared winner of the Handeni parliamentary seat after collecting a total of 10, 315 votes equivalent to 75.89 per cent.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUMZIKA DK.KIGODA HANDENI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na wananchi wa Handeni Mkoani Tanga, katika kumzika aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Kigoda Rais akiwa na chepe ya mchanga.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yampitisha mtoto wa Kigoda kugombea ubunge Handeni Mjini

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Handeni Mjini wamempigia kura na kumchagua tena mgombea ambae alishinda awali Omari Abdallah Kigoda katika uchaguzi uliofanyika wilayani humo leo baada ya kamati kuu ya CCM Taifa kutaka urudiwe.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt. Abdallah Kigoda mjini Handeni, Tanga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt.Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani