Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uingereza kufanya uchaguzi Mkuu leo

UK

UK, London. Wananchi wa Uingereza leo  Mei 7,2015, wanatarajia kupiga kura  kuchagua  wagombea  wa vyama  katika uchaguzi mkuu.

Awali katika kampeni za  viongozi wa vyama vya siasa wanaowania viti, akiwemo Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza wafanyakazi.

Kiongozi wa Lib Dem, Nick Clegg yeye ameahidi hali ya utulivu. Kura ya maoni inaonyesha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UINGEREZA KUFANYA UCHAGUZI MKUU KESHO

Baadhi ya viongozi wanaowania nafasi ya Uwaziri Mkuu Uingereza. VIONGOZI wa vyama na wagombea huko Uingereza wanafanya kampeni zao za mwisho kuwashawishi wapiga kura wawapigie kura kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo kesho (Mei 7, 2015). Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu nchini Uingereza

Uchaguzi nchini Uingereza

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Mkuu Uingereza kufanyika kesho

Uchaguzi mkuu nchini Uingereza kufanyika kesho, huku viongozi wa vyama na wagombea wakikamisha kampeni zao Jumatano

 

10 years ago

GPL

DAVID CAMERON AELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU UINGEREZA

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron anayewania kiti hicho. WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini humo. Wafuasi wa David Cameron wakimlaki. Matokeo ya awali mpaka sasa yanaonesha chama chake cha Conservative kimejiongezea hadi sasa jumla ya viti 20 na kupata ushindi katika majimbo 279 ambapo chama kikuu cha upinzani cha Labour kimepata jumla ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Burkina Faso kufanya uchaguzi mkuu 2015

Vyama vya siasa nchini Burkina Faso vimekubaliana kuwa na mwaka mmoja wa kuelekea mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

 

9 years ago

StarTV

Ulanga mashariki,Lushoto kufanya  uchaguzi leo  

 

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza rasmi kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa Wabunge na madiwani Novemba 22 mwaka huu, katika Majimbo ambayo hayakufanya uchaguzi Oktoba 25 kutokana na vifo vya wagombea  katika majimbo mawili na kata sita.

Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , jimbo la Ulanga Mashariki Mkoani Morogoro na  Lushoto Mkoani Tanga hayakuchagua wabunge, huku Kata sita  zikishindwa kuchagua Madiwani.

 

Kaimu Mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe ametoa taarifa kwa...

 

9 years ago

StarTV

Waangalizi wa EAC waahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria katika Uchaguzi mkuu.

Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imezinduliwa jijini Dar es Salaam na kusema itafanya kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na kanuni za jumuiya hiyo.

Timu hiyo ina jumla ya waangalizi 67 wa kutoka nchi NNEe kati ya tano ambao ni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mwenyekiti akiwa Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Moody Awori.

 Waangalizi hao miongoni mwao ni wabunge wa        Bunge la Afrika Mashariki, Tume za Taifa za Uchaguzi,...

 

11 years ago

GPL

UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU) KUFANYA MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI APRILI 26, 2014 BERLIN

Mwenyekiti wa UTU, MP Mfundo. Berlin, Ujerumani,
UMOJA wa Watanzania Ujerumani (UTU) unatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa uchaguzi siku ya kilele cha sherehe za muunganno wa Tanzania mjini Berlin, Ujerumani. Tarehe 26, Aprili 2014 kuanzia saa 7 mchana katika ukumbi wa Deutsche Bank, Unter den Linden 13-15, 10117 Berlin, Ujerumani. Watanzania wote wanaoishi Ujerumani wanaombwa kuhudhuria kwa wingi katika mkutano huu muhimu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani