Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi mkuu nchini Uingereza

Uchaguzi nchini Uingereza

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Muongozo wa uchaguzi nchini Uingereza

Taifa lote la Uingereza limegawanywa katika majimbo 650 ambapo kila jimbo humchagua mbunge wake.

 

10 years ago

GPL

UINGEREZA KUFANYA UCHAGUZI MKUU KESHO

Baadhi ya viongozi wanaowania nafasi ya Uwaziri Mkuu Uingereza. VIONGOZI wa vyama na wagombea huko Uingereza wanafanya kampeni zao za mwisho kuwashawishi wapiga kura wawapigie kura kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo kesho (Mei 7, 2015). Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Mkuu Uingereza kufanyika kesho

Uchaguzi mkuu nchini Uingereza kufanyika kesho, huku viongozi wa vyama na wagombea wakikamisha kampeni zao Jumatano

 

10 years ago

Dewji Blog

Uingereza kufanya uchaguzi Mkuu leo

UK

UK, London. Wananchi wa Uingereza leo  Mei 7,2015, wanatarajia kupiga kura  kuchagua  wagombea  wa vyama  katika uchaguzi mkuu.

Awali katika kampeni za  viongozi wa vyama vya siasa wanaowania viti, akiwemo Waziri Mkuu, David Cameron ameahidi kuifanya Uingereza kuwa katika njia ya mafanikio, wakati ambapo kiongozi wa Chama cha Labour Ed Miliband akiahidi kuwa na serikali itakayowajali kwanza wafanyakazi.

Kiongozi wa Lib Dem, Nick Clegg yeye ameahidi hali ya utulivu. Kura ya maoni inaonyesha...

 

10 years ago

GPL

DAVID CAMERON AELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU UINGEREZA

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron anayewania kiti hicho. WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini humo. Wafuasi wa David Cameron wakimlaki. Matokeo ya awali mpaka sasa yanaonesha chama chake cha Conservative kimejiongezea hadi sasa jumla ya viti 20 na kupata ushindi katika majimbo 279 ambapo chama kikuu cha upinzani cha Labour kimepata jumla ya...

 

9 years ago

Michuzi

Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakibadilishana Hati ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kuingia nchini kufuatilia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.Hati hiyo ya makubaliano imesainiwa leo, 28-08-2015, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo. Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Filiberto Sebregondi, akisaini Hati ya...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WA NCHI MWANACHAMA WA MAZIWA MKUU KUSHUHUDIA MAMBO YA UCHAGUZI MKUU HAPA NCHINI

Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi Muita,MBS  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya ushiriki wa vijana katika uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Oktoba 25 mwaka huu pamoja na ushiriki wa vijana katika uchaguzi huo. Mwenyekiti wa wa kamati ya uchaguzi wa  vijana wa nchi za maziwa makuu ,Adv.Kabyemela Lushagara akitoa maada katika mkutano wa vijana wa nchi mwanachama wa maziwa makuu pamoja na kuzungumza na baadhi ya vijana wa nchi za...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akutana na Balozi wa Uingereza nchini Bi. Dianna Melrose

2. Katibu Mkuu wa CCM akimkaribisha kwa furaha, ofisini kwake, Balozi wa Uingereza nchini Dianna Melrose

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha kwa furaha, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam,  leo June 9, 2014.

3. Katibu Mkuu wa CCM akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza nchini Dianna Melrose

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Balozi  huyo wa Uingereza hapa nchini, Dianna Melrose, wakipena mikono kabla ya kuanza mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, June 9, 2014.

4. Katibu Mkuu wa CCM akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Dianna Melrose

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu nchini CAR kuahirishwa

Rais wa CAR Catherine Samba Panza amesema uchaguzi mkuu nchini humo utaahirishwa kwa sababu za kiusalama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani