DAVID CAMERON AELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU UINGEREZA
Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron anayewania kiti hicho. WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini humo. Wafuasi wa David Cameron wakimlaki. Matokeo ya awali mpaka sasa yanaonesha chama chake cha Conservative kimejiongezea hadi sasa jumla ya viti 20 na kupata ushindi katika majimbo 279 ambapo chama kikuu cha upinzani cha Labour kimepata jumla ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 May
Duda aelekea kushinda Uchaguzi Polland
11 years ago
Habarileo27 Jun
Lipumba: Tumejipanga kushinda Uchaguzi Mkuu
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye juzi usiku aliibuka mshindi na kuendelea kutetea nafasi yake hiyo ndani ya chama, amesema chama kimeweka nguvu mpya ili kuhakikisha kinashinda uchaguzi mkuu nchini ujao.
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
David Cameron akwepa mdahalo wa pili
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
David Cameron: Awamu mbili zatosha!!
10 years ago
StarTV14 Apr
Miliband asema yuko tayari kumrithi David Cameron.
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Labour nchini Uingereza, Ed Miliband amesema chama cha Labour kitabadili namna nchi inavyoendeshwa na nani wa kuiendesha.”
Miliband amesema hayo wakati akizindua ilani ya uchaguzi ya chama hicho.
Amesema amepimwa kama kiongozi wa upinzani na yuko tayari kwa wadhifa huo, Bwana Miliband amesema chama cha Labour kitakuwa “chama cha mabadiliko na uwajibikaji”.
Amekataa “orodha ya mapendekezo”, yakihakikisha kuwa sera zote hazitahitaji ukopaji wa ziada.
Lakini...
10 years ago
VijimamboBritish Election: David Cameron Wins Surprise Victory for Conservatives
LONDON - Prime Minister David Cameron enjoyed a surprise triumph in the British election Friday as his Conservative Party won a narrow outright victory over a faltering opposition.
The result lifted a fog of uncertainty but leaves Britain facing two constitutional crises: a potentially damaging referendum on whether to quit the European Union, and renewed pressure from Scottish nationalists who want to leave the 300-year-old United Kingdom.
The opposition Labour Party took a beating, with its...
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Mgombea urais ACT atambia Sera za chama chake kushinda uchaguzi mkuu
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mughwira, akizungumza na waandishi wa habari jana muda mfupi baada ya kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida.Mughwira amesema kwa ujumla zoezi la uchaguzi katika halmashauri ya manispaa ya Singida,limeenda vizuri kwa amani na utulivu mkubwa.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MGOMBEA urais kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,amesema endapo wapiga...
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
KINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar jana wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha...