Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Duda aelekea kushinda Uchaguzi Polland

Rais wa Poland Bronislaw Komorowski amekubali kushindwa katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DAVID CAMERON AELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI MKUU UINGEREZA

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron anayewania kiti hicho. WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana nchini humo. Wafuasi wa David Cameron wakimlaki. Matokeo ya awali mpaka sasa yanaonesha chama chake cha Conservative kimejiongezea hadi sasa jumla ya viti 20 na kupata ushindi katika majimbo 279 ambapo chama kikuu cha upinzani cha Labour kimepata jumla ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Marekani 2020: Trump adaiwa kuomba usaidizi wa rais Xi Jinping kushinda uchaguzi ujao

Msaidizi wa zamani wa Trump John Bolton aandika kitabu kinachomtuhumu Trump katika masuala mbalimbali ya kisera na utendaji.

 

11 years ago

Habarileo

Lipumba: Tumejipanga kushinda Uchaguzi Mkuu

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye juzi usiku aliibuka mshindi na kuendelea kutetea nafasi yake hiyo ndani ya chama, amesema chama kimeweka nguvu mpya ili kuhakikisha kinashinda uchaguzi mkuu nchini ujao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani waelekea kushinda uchaguzi Croatia

Chama cha upinzani nchini Croatia kinaelekea kupata ushindi mwembamba kwenye uchaguzi wa ubunge uliofanyika Jumapili.

 

9 years ago

StarTV

Baada ya kushinda uchaguzi  Nyumba za  wana CCM zadaiwa kuchomwa moto Ulanga

Wakazi sita wa kijiji cha Liputi kata ya Mbuga wilaya ya Ulanga Mkoani morogoro wamechomewa nyumba zao baada uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika Novemba 22 mwaka huu wilayani humo

Waathirika wa matukio hayo ambao ni makada wa chama cha mapinduzi CCM wamesema walianza kupokea vitisho mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya ubunge huku nyumba zote zikichomwa kwa wakati mmoja wa saa nane usiku

Mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi  mdogo katika jimbo la ulanga na chama cha mapinduzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea urais ACT atambia Sera za chama chake kushinda uchaguzi mkuu

IMG_0146

Mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mughwira, akizungumza na waandishi wa habari jana muda mfupi baada ya kupiga kura ya kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kwenye kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kibaoni mjini Singida.Mughwira amesema kwa ujumla zoezi la uchaguzi katika halmashauri ya manispaa ya Singida,limeenda vizuri kwa amani na utulivu mkubwa.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mughwira,amesema endapo wapiga...

 

10 years ago

Dewji Blog

KINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar jana wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani