Baada ya kushinda uchaguzi  Nyumba za  wana CCM zadaiwa kuchomwa moto Ulanga
Wakazi sita wa kijiji cha Liputi kata ya Mbuga wilaya ya Ulanga Mkoani morogoro wamechomewa nyumba zao baada uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika Novemba 22 mwaka huu wilayani humo
Waathirika wa matukio hayo ambao ni makada wa chama cha mapinduzi CCM wamesema walianza kupokea vitisho mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya ubunge huku nyumba zote zikichomwa kwa wakati mmoja wa saa nane usiku
Mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mdogo katika jimbo la ulanga na chama cha mapinduzi...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-WUnpghQIhTk/VbQ5DnCPGCI/AAAAAAAAFXI/QF3NEQdt4A8/s72-c/HEPAUTWA.jpg)
HEPAUTWA:NAFAHAMU MAUMIVU YALIYOTOKEA KWA WANA CCM BAADA YA KUICHAGUA CHADEMA UCHAGUZI WA MWAKA 2010
![](http://4.bp.blogspot.com/-WUnpghQIhTk/VbQ5DnCPGCI/AAAAAAAAFXI/QF3NEQdt4A8/s640/HEPAUTWA.jpg)
Na Friday Simbaya, Iringa
KADA maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa mjini Iringa, Nuru Hepautwa amesema anafahamu maumivu yaliyotokea kwa wana CCM baada ya kuachia jimbo hilo mikononi mwa Chadema katika uchaguzi wa mwaka 2010 lakini akaahidi kuyamaliza endapo atapewa ridhaa hiyo.
Hepautwa ambaye pia ni mfadhili wa mashindano ya soka yaliyojizolea umaarufu mjini Iringa ya...
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
10 years ago
Vijimambo12 Dec
10 years ago
Dewji Blog18 Jan
KINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar jana wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha...
9 years ago
GPLTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATAJA TAREHE YA UCHAGUZI LUSHOTO, ULANGA MASHARIKI
9 years ago
Habarileo26 Oct
Gari lanusurika kuchomwa moto
WANANCHI wa Kata ya Embaseni wilaya ya Meru jana walifanya fujo na kutaka kuchoma gari la Utalii ambalo limekodishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Halmashauri ya wilaya ya Meru kwa madai ya kuwa lilibeba kura hewa na kutaka kuziingiza vituoni.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Auawa kwa kuchomwa moto
KADUCHU Tototo (40) mkazi wa Kijiji cha Rugasha, Kata ya Kibingo wilayani Kyerwa, ameuawa na kuchomwa moto na mafuta ya petroli baada ya kutuhumiwa kuvunja duka la Gerald Daud na...
10 years ago
Habarileo17 Mar
Achinja mpwawe, auawa na kuchomwa moto
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi wa Mtaa za Nsalaga jijini hapa, jana asubuhi walishuhudia matukio ya mauaji ya watu wawili ndugu, moja likiwa ni mtu aliyemchinja na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili mtoto wa dada yake, kabla naye kuuawa kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto.
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wawili wafa kwa kuchomwa moto