Gari lanusurika kuchomwa moto
WANANCHI wa Kata ya Embaseni wilaya ya Meru jana walifanya fujo na kutaka kuchoma gari la Utalii ambalo limekodishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Halmashauri ya wilaya ya Meru kwa madai ya kuwa lilibeba kura hewa na kutaka kuziingiza vituoni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Gari la wagonjwa lanusurika kuchomwa moto
GARI la wagonjwa lililotolewa msaada na Shirika la Africare kwa ajili ya Kituo cha Afya Mtowisa wilayani Sumbawanga, Rukwa limenusurika kuchomwa moto na wananchi wa eneo hilo kutokana kudaiwa kuchangia...
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Jengo la Polisi lanusurika kuteketea kwa moto
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JENGO la Polisi Makao Makuu, jijini Dar es Salaam limenusurika kuteketea kwa moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme katika jengo hilo.
Moto huo uliwashtua wafanyakazi wa polisi makao makuu ambao walikuwa wakikimbizana kutoka nje ili kunusuru maisha yao.
Akizungumzia tukio hilo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, alisema moto huo ulianzia katika dari kwenye jengo la ghorofa ya nne ambao baada ya kuanza kuungua moto na moshi kuenea katika baadhi ya...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Basi la kampuni ya Hajis lanusurika kuteketea kwa moto!
Picha mbalimbali juu na chini zikionyesha kikosi cha zima moto manispaa ya Singida,wakijitahidi kuzima moto uliosababishwa na kazi ya kuchomomelea basi la kampuni ya Hajis ya mkoani Singida.Viti na sehemu kubwa ya ndani, imeungua vibaya.Tukio hilo limwetokea katika gereji ya kampuni ya Hajis iliyopo eneo la Utemini mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Jengo la Polisi Makao Makuu Dar, Lanusurika Kuwaka Moto
Jengo la Ghorofa ya 4 la Jeshi la Polisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam leo limenusurika kuwaka moto baada ya kutokea cheche za umeme ndani ya jengo hilo na kusababisha taharuki kabla ya Kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuudhiti.
Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia taarifa zetu.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Auawa kwa kuchomwa moto
KADUCHU Tototo (40) mkazi wa Kijiji cha Rugasha, Kata ya Kibingo wilayani Kyerwa, ameuawa na kuchomwa moto na mafuta ya petroli baada ya kutuhumiwa kuvunja duka la Gerald Daud na...
10 years ago
Habarileo17 Mar
Achinja mpwawe, auawa na kuchomwa moto
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wakazi wa Mtaa za Nsalaga jijini hapa, jana asubuhi walishuhudia matukio ya mauaji ya watu wawili ndugu, moja likiwa ni mtu aliyemchinja na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili mtoto wa dada yake, kabla naye kuuawa kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto.
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Diwani, Mtendaji wanusurika kuchomwa moto
DIWANI wa Isakamaliwa, Igunga, Doto Kwilasa, Ofisa Mtendaji wa Kijiji, Erasto Shokoro, wajumbe sita wa serikali ya kijiji na mtu ambaye hajajulikana wamenusurika kuchomwa moto na wananchi. Wananchi hao waliwafungia...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Anayedaiwa kuchomwa moto afariki dunia
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Wawili wafa kwa kuchomwa moto