Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA

Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Philip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mapema leo asubuhi ndani ya Ofisi za Makao makuu ya chama hicho,huku akiwaonesha picha iliyotumika kwenye moja ya gazeti la kila siku hapa nchini,kwamba baadhi ya Wapinzani wamekuwa wakitumia vibaya nafasi za kutafuta uongozi kwa kuwadhalilisha watoto kupitia umaskini wao walionao ikiwemo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CHADEMA YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA MKOANI IRINGA

 Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema taifa, John Heche, akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Lumuli, wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia chama hicho, Grace Tendega uliofanyika kijijini hapo jana.
 Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM...

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI


Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA, IRINGA

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea barua kutoka kwa Mhe. Spika wa BUNGE la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya kuiarifu uwepo wa nafasi wazi ya Ubunge katika Jimbo la Kalenga lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. William Mgimwa aliyefariki dunia tarehe 1/1/2014. Baada ya taarifa hiyo Tume imepanga ratiba ya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kalenga kama ifuatafyo:-
1.     Uteuzi wa Wagombea Ubugne utafanyika tarehe...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI,CCM YATAMBA KUNYAKUA JIMBO.

 Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini mapema leo jioni,alipokwenda kuzungumza nao na kuomba ridhaa yao ya kuwaongoza kama Mbunge.  Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga,Mkoani Iringa kupitia tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akizungumza na Wananchi/Wanakijiji wa kijiji cha Ilala Simba kilichopo Kata ya Nzihi,Iringa Vijijini...

 

11 years ago

Michuzi

SIJAJA KUFANYA KAMPENI JIMBO LA KALENGA,NIMEKUJA KUTOA TAHADHARI TU-MAKAMU MWENYEKITI CCM, PHILIP MANGULA.

Makamu Mwenyekiti (BARA) wa CCM,Ndugu Philip Mangula akihutubia kwenye kumtano wa hadhara wa kampeni ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga,mapema leo jioni kwenye Kata ya Kalenga-Iringa vijijini.

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA

Mkuu wa mkoa wa iringa DK CHRISTIN ISHENGOMA amewataka wananchi mkoani  Iringa,kutokuwa na hofu katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi wa jimbo la kalenga.
Akizungumza leo  kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani