TAARIFA YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA, IRINGA
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea barua kutoka kwa Mhe. Spika wa BUNGE la Jamhuri ya Muungano Tanzania ya kuiarifu uwepo wa nafasi wazi ya Ubunge katika Jimbo la Kalenga lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. William Mgimwa aliyefariki dunia tarehe 1/1/2014. Baada ya taarifa hiyo Tume imepanga ratiba ya Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Kalenga kama ifuatafyo:-
1. Uteuzi wa Wagombea Ubugne utafanyika tarehe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi07 Mar
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s72-c/MMG24848.jpg)
WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_rdFNI6Nvh8/Uwx-dk6-ykI/AAAAAAACbFs/7VIME4f1y-4/s1600/MMG24848.jpg)
Akizungumza leo kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...
11 years ago
Michuzi09 Mar
UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI
Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hWCstz4R7xI/UxRX5lSYFfI/AAAAAAACbd4/cxyQUur-XbE/s72-c/mto.jpg)
MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-hWCstz4R7xI/UxRX5lSYFfI/AAAAAAACbd4/cxyQUur-XbE/s1600/mto.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vCweFFKOucA/UxRS3fx9UYI/AAAAAAACbdM/nVmQ5-0Dx9s/s1600/2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-feEhwFEag-s/UxH85khES4I/AAAAAAACbYw/T1a-IoTL9To/s72-c/3.jpg)
KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA ZAZIDI KUSHIKA KASI,CCM YATAMBA KUNYAKUA JIMBO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-feEhwFEag-s/UxH85khES4I/AAAAAAACbYw/T1a-IoTL9To/s1600/3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6GXqgDp6kj4/UxH8vP0yjaI/AAAAAAACbXc/ZMAW2mThT1w/s1600/13.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fjDlEFNDK04/UvmfktoKVnI/AAAAAAAFMTc/yau44oQ0eVY/s72-c/0,,6109263_4,00.jpg)
CUF KUTOWEKA MGOMBEA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-fjDlEFNDK04/UvmfktoKVnI/AAAAAAAFMTc/yau44oQ0eVY/s1600/0,,6109263_4,00.jpg)
Mbio za kuwania ubunge katika Jimbo la Kalenga unabaki kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuthibitisha kutosimamisha mgombea. Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Umma wa CUF, Abdul Kambaya, amesema chama chake hakina mpango wa kusimamisha mgombea katika jimbo hilo na kwamba hivi sasa wanaandaa mikutano ya kuimarisha chama chao.“Mpaka sasa CUF haina mpango wa kusimamisha mgombea ubunge Kalenga… kwa sasa...
11 years ago
Michuzi13 Mar
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OQNqlept6ZA/UyaVs2pHqnI/AAAAAAACcqs/7XjhzB477YE/s72-c/IMG-20140317-WA0001.jpg)
CCM YASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA
![](http://2.bp.blogspot.com/-OQNqlept6ZA/UyaVs2pHqnI/AAAAAAACcqs/7XjhzB477YE/s1600/IMG-20140317-WA0001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vhJuSM-SSJU/UyaNwBA1W-I/AAAAAAACcqU/-dpC61Zc4ps/s1600/IMG_0099.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fwvbyWJLDKI/UyVuwH81RfI/AAAAAAACckw/yrllVhyq2xo/s72-c/1.jpg)
UPIGAJI KURA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA UTULIVU MKUBWA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-fwvbyWJLDKI/UyVuwH81RfI/AAAAAAACckw/yrllVhyq2xo/s1600/1.jpg)