Ivo ajifua Sauzi, ulinzi wa Yanga usipime
Homa ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda, baada ya Simba kulazimika kumrudisha kundini kipa wake majeruhi, Ivo Mapunda na Yanga wakiweka ulinzi mkali katika mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veteran, Bunju jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Ivo, Kiongera waachwa safari ya Simba Sauzi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7466U3ZMMqXfMZoB50UgnnOVXHgLCJs*G*cPmFHNF8Htdh3jWZvlgwQHQo1HwcdtWd39mMfjkIXfSCvoDEaHXLeTELtwpfee/FRONTIJUMAA.gif)
ULINZI WA OBAMA KENYA USIPIME
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Ulinzi ofisi za Tume ya Uchaguzi ‘usipime’
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Yanga, Azam, Simba usipime
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Siku 47 za Maximo Yanga SC usipime
![Marcio Maximo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Marcio-Maximo.jpg)
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KAMA kuna kitu kikubwa kwa kocha yeyote duniani, ni kufikia malengo aliyojiwekea.
Malengo hayo yana njia zake na hiyo hutokana na falsafa za kocha husika kwa kile anachokiamini.
Juni 29, mwaka huu, Yanga ilimrejesha kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbrazil Marcio Maximo, kama kocha wao mkuu pamoja na Mbrazil mwingine, Leonardo Neiva, ambaye ni msaidizi wake.
Julai 1 mwaka huu, Maximo alianza kibarua...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Ivo aishangaa Yanga
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri
10 years ago
Mtanzania15 May
Yanga yazima ndoto za Msuva Sauzi
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
NDOTO za mshambuliaji wa timu ya Yanga na mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita, Simon Msuva kucheza soka la kulipwa katika timu ya Bidvest Wits nchini Afrika Kusini zimefutika, baada ya uongozi wa Wanajangwani hao kumzuia mchezaji huyo kuondoka.
Habari za kuaminika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa klabu hiyo zililieleza MTANZANIA jana kuwa, maamuzi hayo yalitolewa katika kikao kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Chanzo hicho kilisema...
10 years ago
Mtanzania11 May
SAKATA LA MSUVA KUTIMKIA SAUZI ;Yanga yaishtaki Bidvest
ABDUCADO EMMANUEL, DAR NA MICHAEL MAURUS, MTWARA
SAKATA la winga wa timu ya Yanga, Simon Msuva kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini kwenye timu ya Bidvest Wits bila ruhusa ya uongozi wake, limechukua sura mpya baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom kuishtaki timu hiyo kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Msuva aliyerejea nchini juzi baada ya kumaliza majaribio hayo na kudaiwa kufanya vizuri, alitorokea nchini humo Jumatatu iliyopita usiku bila kuafikiana na uongozi wa...