Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku 47 za Maximo Yanga SC usipime

Marcio Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KAMA kuna kitu kikubwa kwa kocha yeyote duniani, ni kufikia malengo aliyojiwekea.

Malengo hayo yana njia zake na hiyo hutokana na falsafa za kocha husika kwa kile anachokiamini.

Juni 29, mwaka huu, Yanga ilimrejesha kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbrazil Marcio Maximo, kama kocha wao mkuu pamoja na Mbrazil mwingine, Leonardo Neiva, ambaye ni msaidizi wake.

Julai 1 mwaka huu, Maximo alianza kibarua...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam, Simba usipime

Yanga na Azam zimeendelea kujikita kileleni mwa ligi baada  ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na Coastal Union, huku Simba ikiichapa Stand United kwa bao 1-0.

 

11 years ago

Mwananchi

Ivo ajifua Sauzi, ulinzi wa Yanga usipime

Homa ya pambano la watani wa jadi imezidi kupanda, baada ya Simba kulazimika kumrudisha kundini kipa wake majeruhi, Ivo Mapunda na Yanga wakiweka ulinzi mkali katika mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veteran, Bunju jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

TheCitizen

Maximo says Yanga are going places

He might have stayed with the team for two weeks only, but Young Africans head coach Marcio Maximo, is optimistic that the Jangwani Street outfit is going places.

 

10 years ago

Mtanzania

Maximo: Nawaangalia tu Yanga

???????????????????????????????

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo

Former National soccer team, Taifa Stars head coach, Marcio Maximo, has said his task ahead is to make Young Africans Sports Club a strong side like TP Mazembe of the Democratic Republic of Congo (DRC).

 

11 years ago

GPL

MAXIMO KUONGEA KILA SIKU YA IJUMAA

Kocha mkuu wa timu ya Young Africans SC Mbrazil Marcio Maximo. Kocha mkuu wa timu ya Young Africans SC, Mbrazil, Marcio Maximo amesema atakua akiongea na waandishi wa habari kila siku ya Ijumaa asubuhi mara tu baada ya mazoezi katika shule ya sekondari Loyola ili kuwapa nafasi na fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali kuhusiana na maandalizi ya kikosi chake msimu ujao.

Akiongea na mtandao rasmi wa klabu ya Young Africans...

 

10 years ago

CloudsFM

Yanga SC yamtimua rasmi Maximo.

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa ameshiriki katika mechi tisa tu za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga, Maximo wafikia patamu

KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, anatarajiwa kusaini mkataba mwishoni mwa wiki kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Twiga na Jangwani jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

KARIBU YANGA: Maximo kuunguruma

>Kocha mpya  wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo amewasili nchini jana na leo ataanika mikakati yake ya kuimarisha timu hiyo katika mkutano wa kwanza na vyombo vya habari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani