Maximo: Nawaangalia tu Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen01 Jul
Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo
11 years ago
TheCitizen14 Jul
Maximo says Yanga are going places
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Maximo basi tena Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SAALAM,
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kukatisha mkataba wake na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo kuanzia sasa ukiwa ni uamuzi ulioafikiwa katika kikao kilichofanyika juzi Hoteli ya Protea, jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimekaa siku moja baada ya timu hiyo kuchapwa bao 2-0 na watani wao wa jadi, Simba katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika mwishoni mwa wiki Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Maximo anaondolewa katika kikosi hicho akiwa...
10 years ago
Vijimambo23 Sep
Maximo awaomba radhi Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Maximo--September22-2014(1).jpg)
Kikianza na wachezaji wanne wa kimataifa, Wanyaruanda Haruna Nyinzoma na Mbuyu Twite, Mganda Hamis Kizza na Mbrazil Genilson Santos Santana ‘Jaja’, Kikosi cha Yanga kilijikuta kikikubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya timu isiyo na mchezaji hata mmoja wa kimataifa, Mtibwa...
10 years ago
TheCitizen17 Dec
SOCCER: Pluijm in, Maximo out at Yanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWhz2ls-oqno*yOMYG-MVcNcY4DgI4dWwCGbwzsFlWeQiyOazM7dpARtkaKPAFnv0L8fL3*bFhpTkV1WiLWroPGQ/marcio.jpg)
Maximo amtaja Boban Yanga SC
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Maximo awaadabisha wavivu Yanga
10 years ago
Mtanzania17 Aug
Siku 47 za Maximo Yanga SC usipime
![Marcio Maximo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Marcio-Maximo.jpg)
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KAMA kuna kitu kikubwa kwa kocha yeyote duniani, ni kufikia malengo aliyojiwekea.
Malengo hayo yana njia zake na hiyo hutokana na falsafa za kocha husika kwa kile anachokiamini.
Juni 29, mwaka huu, Yanga ilimrejesha kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbrazil Marcio Maximo, kama kocha wao mkuu pamoja na Mbrazil mwingine, Leonardo Neiva, ambaye ni msaidizi wake.
Julai 1 mwaka huu, Maximo alianza kibarua...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q9JKAyO9-k6bKGt3yZ0C9BFsTciWMv*eizMHfqQZ*KHInUyjXJ2VlN5tt4BXqPsavplTWHvbLIpWL7G6URVPu0xtYmUGNFAi/1.jpg)
Maximo atangaza vikosi 2 Yanga